Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
wametulia kama baba yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama mama yao mdogo jackyHawana ulimbukeni wa maisha ..
Ana miaka mingapi sasa hivi?Rumours has it Regina ni mkoboaji na mpaka sasa hajaolewa wala hana watoto.
Atakua kati ya 48-50Ana miaka mingapi sasa hivi?
Hiyo range ipo sawa ukizingatia Mzee kaondoka na 75, ambapo huenda alioa akiwa na 27Atakua kati ya 48-50
Ninaongea ninachofahamu Regina alisoma Weruweru.Hiyo range ipo sawa ukizingatia Mzee kaondoka na 75, ambapo huenda alioa akiwa na 27
Nimekuelewa sana, shukrani sana.Ninaongea ninachofahamu Regina alisoma Weruweru.
Ile family iko too westernisedNimekuelewa sana, shukrani sana.
Ila kitendo cha kutoolewa sio kizuri ingawa ni maamuzi ya mtu
Maisha ni kuchagua mkuuIle family iko too westernised
Rumours has it Regina ni mkoboaji na mpaka sasa hajaolewa wala hana watoto.
Hawa watoto wa Mzee Mengi je Wana familia zao. Ila kwenye Msiba sjaona wakisema wajukuu wa Mzee Mengi. Au bado wote ni mabachelorImezoeleka watoto wa mabilionea kuwa na kashfa mbalimbali kama za kifisadi, madawa ya kulevya, wizi, umalaya nk but kwa watoto wa huyu mzee maarufu imekuwa tofauti sana kusikia kashfa zao ni nadra sana kuwakuta wakiuza sura kwenye TV kiukweli au kuwaona kwenye viwanja vya bata hapa bongo ni mfano wa kuugwa kwa kweli kwa watoto wa matajiri r. i. p.motiel mengi.. ila hawa watoto ni mfano wa kuigwa
Baba zao walikua marafiki si MM jina lake. Hata yeye Baba yake ni mmoja wa ma director wa kwanza wa IPP. Ingawa ni marehemu lakini familia inapata share kila mwaka.Hizo Rumours nilizisikiaga miaka kama 13 iliyopita, kuna dada mmoja hivi anaishi London ndio alikuwaga mtu wake wa karibu.
Huyo dada(wa London) ni tom boy flan hivi mnene mnene na mahipsi ya kufa mtu.
Wambeya wanadai kwamba mtajwa akiwa London huwa ana pika na kupakuwa kabisa kwa huyo tom boy.
Baba zao walikua marafiki si MM jina lake. Hata yeye Baba yake ni mmoja wa ma director wa kwanza wa IPP. Ingawa ni marehemu lakini familia unapata share kila mwaka.
Ndio aitwe Joshua Reginald Mengi??acha ubishi mkuu,watoto wa nje huez jua
Yule pale umri umeenda aiseee nahisi hata jacky ni mdogo kwakeAna miaka mingapi sasa hivi?
Huyu jamaa hakua na shobo kabisa, in those old days as a group one day tulixunguka viwanja all night longRIP Rodyne Motie RIP Mzee Mengi