Mimi.
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 2,120
- 3,059
Wanatumia majina gani insta niwacheck maana cwajui
hawapo hata insta wala facebook unless kama wanatumia majina fake, wamelelewa vizuri sana...hawana mbwembwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatumia majina gani insta niwacheck maana cwajui
yupo anasoma Edern Garden Moshi,na kila siku anapelekwa shule na gari na kurudi na analala Salsalnero hotel ya dingi ake....acha ubishi!!!! yuko standard seven sahiv
yupo anasoma Edern Garden Moshi,na kila siku anapelekwa shule na gari na kurudi na analala Salsalnero hotel ya dingi ake....acha ubishi!!!! yuko standard seven sahiv
Ndio aitwe Joshua Reginald Mengi??acha ubishi mkuu,watoto wa nje huez juaHahahahahaha jamaa acha fix wewe.. Akina Mengi wapo wengi hilo la kwanza.. Huyo dogo unayemsema ni mjukuu wa kaka yake Mengi sio mtoto wa Reginald.. Watoto wa Reginald ni wakubwa sio wa kuwa Std 7 au hata Undergraduate ukiacha hawa mapacha
Mkuu anaitwa Joshua reginald mengi na ninao uhakika sababu mwalimu wake tunakaa nae.....kwani lazima ajulikane?.kuitwa Joshua Mengi sio lazima awe amezaliwa na reginald Mengi...hilo jina la Mengi ni ukoo so huo umjuaye wewe anaweza kua ni mtoto wa ukoo wa mengi
Ndio aitwe Joshua Reginald Mengi??acha ubishi mkuu,watoto wa nje huez jua
Kuna wakubwa kama Mutie(Rodney).....R.I.P..ulikuwa waweza pishana nae bila kujua anatoka familia mzito.Bado wadogo sana tuwape mda!
SawaAcha uongo kijana
Poleni poleniAbdiel kama sio ile ishu ya kubambikiwa wengi wasingemjua kabisa.. Jamaa ni mpole sana na mama yake Mercy anampenda mno..
Magogoni sio kwao ni nyumba ya kupanga wala hawatakiwi waizoee kwao kolomije huko.Hata watoto wa Magu pia, ni nadra sana kuwakuta Magogoni.
Unakumbuka yule mtoto wake aliichukua timu ya pazi queens akaipeleka south afrika,aliendaga kuwafanya nini?Imezoeleka watoto wa mabilionea kuwa na kashfa mbalimbali kama za kifisadi, madawa ya kulevya, wizi, umalaya nk but kwa watoto wa huyu mzee maarufu imekuwa tofauti sana kusikia kashfa zao ni nadra sana kuwakuta wakiuza sura kwenye TV kiukweli au kuwaona kwenye viwanja vya bata hapa bongo ni mfano wa kuugwa kwa kweli kwa watoto wa matajiri r. i. p.motiel mengi.. ila hawa watoto ni mfano wa kuigwa
Mbona wapo wakubwa kabisa yupo regina anayesimamia kampuni ya palmolive,hii familia haina mbwembwe kabisa tunaishi na mengi kinondoni lakini hata kumuona huyo k lyn ni kwa mbinde sanaa unaweza kaa mwaka mzima usione anatoka au anaingia saa ngapiWatoto wenyewe hata miaka mitatu hawajafikisha wape muda
Pinda nawafahamu watoto wake wawili wana mbwembwe vibaya sana mmoja wa kike na huyo wa kiume ukikaa naye unaweza kuchukia bila kupendaNiliwahi kutamani kuweka thread kama hii kuhusu Mh Mizengo kayanza peter Pinda!! Nikaogopa kubananishwa!! But now this you unleashed my peer appreciations to whom it's due!!asante sana
Unamjua regina Mengi?mengi anawatoto wakubwa wawili mmoja wa kike na mmoja wa kiume mwingine wa kiume alishafariki motieBado wadogo sana tuwape mda!
Hata regina alishapata kashfa ya usagaji,aliisafirisha timu ya basket ball wanawake pazi queens,kilichotokea huko south kilisikikaKwani Motie si alikuwa mwanae na alipataga kashfa ya ngada!?
Upo sahihi ila regina walishamzushia kashfa ya usagajiWakubwa walioko hai ni wawili
Regina (anafuga dread hivi) ambaye ana manage EATV na EA radio,na Abdiel ambaye pia kama haijabadilika alikua ni moja ya wakurugenzi ndani ya the guardian,
Aliyefariki alikua Rodney Mutie (alikua mtu mwema pia) na ndio alikua mkuu wa Ea tv na radio.
Plus twins wa dada Klynn...
Mh sikweli kuna jamaa yangu alikuwa anapiga huyu bibie miaka ya 90 na alikuwa anamfuata Kinondoni na M Benzi fulani hivi enzi hizo ulikuwa hatari sana unless kama kaanza hiyo michezo sasa hiviRumours has it Regina ni mkoboaji na mpaka sasa hajaolewa wala hana watoto.