FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Unamjua vizuri Regina?!
Simjui bali namfahamu.. Hayo mengine ni yasemwayo tu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamjua vizuri Regina?!
sasa si useme??Una uwakika? Kama hawafanyii bongo je? Napata taabu kidogo kwsbb kama baba anachukua kibinti / kitoto chake , sijui itakuwaje kwa wanaye
Ulimjua vizuri motie? R.I.P. motie
Ala sijuiKiwanda cha revola, tanbond na toiletpaper vyote ameviuwa
Alishawahi kukukoboa[emoji15]Hiyo ni kweli kabisa anakoboa vzr sana. Sema ndio kimya kimya
Hawa ndio definition ya 'DOWN TO EARTH' huwezi kuwajua mpaka uambiwe huyu ni fulani. Abdiel mpaka kesho yuko hivyo.Ni kweli kabisa mkuu, jamaa hakuwa na majivuno kabisa, alikuwa mtu poa sana na hata ukikaa nae hutahisi kama umekaa na mtoto wa tajiri mkubwa tu.. Tatizo hawa watoto ambao wazazi wao wamepatia feza za kifisadi ukubwani.. Wana matatizo sana.. Kuna kipindi bwana mdogo mmoja baba yake alikuwa IGP enzi hizo, jamaa alisumbua utafikiri baba yake ni billionea flani hivi..
All in All ukikulia kwenye familia yenye manners lazima na watoto watakuwa kwenye mstari mnyoofu..
Gone Too Soon Mutie..
Nadhañi mtoa mada kamaanisha wale wakubwa sio hawa wadogo wa k lynWatoto wenyewe hata miaka mitatu hawajafikisha wape muda
Hawa ndio definition ya 'DOWN TO EARTH' huwezi kuwajua mpaka uambiwe huyu ni fulani. Abdiel mpaka kesho yuko hivyo.
kuna Joshua Mengi tupo nae kitaawapo wawil kuacha yule aliekufa pia Kuna matwinc wa kylen
kuna Joshua Mengi tupo nae kitaa
Watoto wale walivyo na Fujo mjin.... hasa yule mwenye Gari la kipekeeFamilia ya bakhresa pia wametulia Sana hawana skendo wala mi sifa ya kijinga
yupo anasoma Edern Garden Moshi,na kila siku anapelekwa shule na gari na kurudi na analala Salsalnero hotel ya dingi ake....acha ubishi!!!! yuko standard seven sahivMengi hana mtoto anaitwa Joshua..
........kuigwaImezoeleka watoto wa mabilionea kuwa na kashfa mbalimbali kama za kifisadi, madawa ya kulevya, wizi, umalaya nk but kwa watoto wa huyu mzee maarufu imekuwa tofauti sana kusikia kashfa zao ni nadra sana kuwakuta wakiuza sura kwenye TV kiukweli au kuwaona kwenye viwanja vya bata hapa bongo ni mfano wa kuugwa kwa kweli kwa watoto wa matajiri r. i. p.motiel mengi.. ila hawa watoto ni mfano wa kuigwa