Watoto wa Reginald Mengi wapo tofauti sana

Hiyo lodge naifahamu. Inaitwa Bibi Errah lodge. Ipo Tabata Magengeni pale karibu na branch ya CRDB anapofanyia kazi Dataz.. Mbele kidogo ya kanisa jirani na shule ya Kenton (nasikia shule haipo siku hizi).

Chimbo moja matata sana!
Yes.wewe nae kumbe ni mhenga mwenzangu
 
Nilitengemea watoto wa mengi nawao wangekuwa matajiri kumzid mo dewji, sisi wazaz waki Africa kwanini hatuwawezeshi watoto wetu ili badae waje kuwa matajiri wakubwa, kama wanavyo Fanya wenzetu wahindi, wazungu
 
Mentality mbaya sana ya kiafrika

Juzi Kati nilikuwa naongea na Wana

Unakuta mazazi Yuko tayari kulipa Ada milioni 5 lakini hayupo tayari kumpa mwanae milioni 5 Kama mtaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitengemea watoto wa mengi nawao wangekuwa matajiri kumzid mo dewji, sisi wazaz waki Africa kwanini hatuwawezeshi watoto wetu ili badae waje kuwa matajiri wakubwa, kama wanavyo Fanya wenzetu wahindi, wazungu
Waafrika akili hatunaga na roho mbaya za asili... hii jamii ina kasumba sana!
 
Hiyo lodge naifahamu. Inaitwa Bibi Errah lodge. Ipo Tabata Magengeni pale karibu na branch ya CRDB anapofanyia kazi Dataz.. Mbele kidogo ya kanisa jirani na shule ya Kenton (nasikia shule haipo siku hizi).

Chimbo moja matata sana!
Huyo DataZ yuko Bongo kumbe?! Nilijuaga wale rapper wa miaka ile ambao walikuwaga wanatoka famili tamu na zenye shule wote washagaruka majuu kama kina Rah p na kina balozi
 
Back
Top Bottom