Watoto wa viongozi wakuu wa nchi walipwe ili kuwatia moyo

Naunga mkono ila waongeze na Babu na Bibi wa rais nao walipwe kwa vigezo tajwa hapo juu
 
MIMI NAPENDEKEZA KOO ZOTE ZA VIONGOZI WAKUU WA NCHI WALIPWE KWANI ZIMESHIRIKI KUWATIA MOYO VIONGOZI

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Waongeze Baraza la senate ambapo watoto wote wa viongozi wa juu,wafanyabiashara, watu mashuhuri na wake/waume zao watakuwa wajumbe. 🤓
 
Umesahau na marafiki wa watoto wa viongozi walipwe, majirani karibu na viongozi walipwe, wajomba wa viongozi walipwe, mashemeji nao walipwe, Kiufupi walipwe walipwe, walipwe mpaka walipwe tena 😂😂 Robert bha!!!
 
Na wake wa hao watoto wa viongozi pia walipwe, na michepuko kama wanayo pia isiachwe nyuma, nayo ilipwe

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Ila Mama Salma ana roho ya kijambazi.

Pamoja na kwamba mumewe ni Rais mstaafu,,,anahudumiwa kwa kila kitu,kuanzia matibabu,,,yeye pamoja na familia yake.

Bado yule mama ni mbunge.

Bado anataka alipwe pesa kama mke wa Rais mstaafu..huu ni uroho wa madaraka na pesa.

Mijitu milafi haifai kwenye taifa.
 
Umesahau na marafiki wa watoto wa viongozi walipwe, majirani karibu na viongozi walipwe, wajomba wa viongozi walipwe, mashemeji nao walipwe, Kiufupi walipwe walipwe, walipwe mpaka walipwe tena 😂😂 Robert bha!!!
Kwa CCM hakuna kinachoshindikana
 
Naunga mkono hoja, ila malipo hayo sio kwa ajili ya kuwatia moyo bali ni compensation of loss of parental love and parental quality time with their children and kupunguza mateso ya ridicule kwa wazazi wao, wao ndio waathirika.

P
Paschal nae alipwe
 
Reactions: EEX
Mtoto wa kiongozi akilipwa, huyo mtoto anayelipwa na yeye ni kiongozi hivyo watoto wa mtoto wa kiongozi watalipwa.

Totos to totos.
 
Hao rafiki zako hawana mchango wowote wa maana katika taifa letu. T’fadhali, usiwalinganishe na viongozi wetu wapendwa (ref mwashambwa). Hawastahili kabisa kula kodi zetu. Tena hata ruzuku wasipewe kivyovyote vile.
 
acha uchoyo, kidogo kula na wenzako usibane sana...
 
Hawa vio.ngozi wa ccm ni wabinafsi sana. Yani mke hafanyi kazi alipwe? Ingekuwa nchi za wenzetu wanaojielewa kingenuka cc tunamsikilizq zuchu. Na kubeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…