View attachment 2332001
Hili tabaka la wapigiwa kura na wapiga kura linazidi kuonekana. Rafiki yangu siku nyingi aliniambia wapigiwa kura hata wakiugua hawatibiwi katika zahanati zetu zilizojaa paracetamol. Watoto wao wanasoma Feza na hata ikitokea watoto wao wakumbane na mkono wa sheria, polisi atalala kwenye ofisi ya Mkuu wa kituo na jioni atapelekewa kiepe, mishikaki na soda ya baridi.
Mtoto wa huku kwetu Kwamtogole singer na Askari maneno yale, sasa hivi tungekua tunatoa maamuzi ya kuzika au kusafirisha. Lakini hii ndiyo Tanzania yetu.
Duh..[emoji24]
Naam, sehemu ambayo mwenyeezi mungu katuweka Levo ni kifo pekee na hayo ni maamuzi take hakuna mjadala.Hata mbinguni kuna matabaka,kuwa sawa haukuwa mpango wa Mungu, kwa tofauti zetu ndiyo ukuu wake uonekana. Mungu ni mwema, siku zote.
Hakika, ila wengine wanakufa vizuri na wengine vibayaNaam, sehemu ambayo mwenyeezi mungu katuweka Levo ni kifo pekee na hayo ni maamuzi take hakuna mjadala.
Tukiwaona wanashuka karandinga wanapoletwa mahakamani huku hawawezi kutembeya sababu ni hii.
Dogo inawezekana ni bwabwa, anapelekewa moto. Anamuuliza mwanaume mwenzie kama anataka ampe , kanawashwa haka katoto."Na wewe unataka"
Matabaka siku zote huwa niya asili hivyo hakuna dunia ya usawa wa watu wote.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Avatar yako imenikumbusha Tibasima Comics, Daah! Wakina Bungubungu.Matabaka siku zote huwa niya asili hivyo hakuna dunia ya usawa wa watu wote.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app