Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Endeleeni kufanywa nyie wanaume ila tukizipata koneksheni tutazuangalia hatutaacha maana Mungu ana njia ya kuumbua watu Kwa namna nyingi ukiishi nyumba ya vioo acha ugomvi wa mawe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Aisee ile ya kule.. Mungu wangu Mungu wangu Mungu wangu... [emoji2827]
 
Wamama wanachangia sana watoto wa kiume kuwa mashoga ,just imagine zari anafurahia kabisa wanae wa kiume kuvaa hereni zake.

Mtoto wa kiume inatakiwa alelewe kimafia ,ukimlea kimayai mayai ni majanga sana.
Wengi wanahisi ni fasheni kwa mwanaume kuvaa hereni,kusuka nywele na kuvaa vipini masikioni.Kumbe wanaukaribisha ushoga pasi na kujua.
 
JF siku hizi sijui imekuwaje jamani. Tunajua ukiposti hapa unakula ban basi tumeni link na sisi wengine tukaone huko.
 
Out of work
IMG-20230302-WA0004.jpg


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha ana balaaa bwana afande kaahh

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Afande anamalizia "ooossshhh mume wangu kojoaa"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanawake kazi wanayo, anajipinda kumpa maufundi mume, kumbe mume and chukua madesa akampe basha wake.

Woiiiiiih
 
Back
Top Bottom