Watoto wa Wasira waliojiunga CHADEMA watoa ufafanuzi juu ya uhusiano wao na Waziri Wasira

Watoto wa Wasira waliojiunga CHADEMA watoa ufafanuzi juu ya uhusiano wao na Waziri Wasira

safi sana.........ila inauma sana watoto wanapokua upande wa pili!!..ila inawezekana pia wamekuja CHADEMA baada ya kukosa nafasi stahiki ndani ya CCM..ingawa mtapinga dada zangu lakini mnatumia kofia ya baba yenu mdogo kujipatia umaarufu hasa ikizingatiwa kwamba wanabif kali sana na CHADEMA..na CDM itawatumia kama silaha ya kumuangamiza.
Pamoja na waandishi kuitumia fursa ile kwa faida yao mimi sioni tatizo kabisa kwa watoto wa mtu yeyote kujiunga na chama, dini au kundi lolote lililohalalishwa na jamii kwani ni haki yao ya msingi.
Wasira hakutumia busara ku - react aliyofanya kama kwamba watoto wale walitenda kosa la jinai, na kuonyesha ulazima wa yeye kujiweka pembeni! Sijui kwa nini Mzee huyu alishindwa kuazima jani oka kwa hayaati Nyerere ambaye akiwa hai tena mwana CCM kijana wake mmoja alijiunga na CHADEMA na kufaulu kuupata ubunge wa Arusha mjini lakini Mzee yule hakuonyesha ghadhabu wala kuaibika na badala yake alikuja na somo jipya; nalo ni "Watakaojiengua CCM na kujiunga na upinzani wasihesabiwe wasaliti" - Funzo ambalo CCM wameshindwa kabisa kulielewa hadi leo!
 
Chadema inaogopeka sana ndio maana hawaachi jambo lipite
 
Watu wengine wanadhalilika kwa upumbavu wao c angekaa kimya? Ona sasa kesha haribu dili la Ester Bulaya sara huenda akachuana na Ester Wassira kwa hali ilivyo tukienda kwenye pol Bulaya, Wassira (original) watabwagwa vibaya na kijana Ester Wassira(copy) kwa mbali nanusa mhuano mkali jimbo la bunda 2015.
 
AshaDii
Kwetu sisi waafrika, mtoto wa baba mkubwa au baba mdogo bado ni mwanao tu hata kama tutapinga na kusema ni mtoto wa ndugu yangu, bado ni mwanao kwa tamaduniza kiafrika. Waandishi hawakukosea kusema wale ni watoto wa wasira according to African tradition and culture!

Nimekuelewa mkuu... Na naomba nikiri kuwa kweli whats NEWS ndio News yenyewe... Hapo ndio tunaporudi pale pale kuwa mara nyingi habari the way zinawakilishwa zinakuwa na mapungufu. Mara nyingi habari yenyewe originally haiwezi kuuza kama ikiwa manipulated.

Tukija upande wa kusema kwetu sisi tuna ile ya kusema kuwa watoto wa mdogo wako ni wako pia. Mwana mpotevu, hao watoto ni mawakili (a profession ambayo inanipa confidence kuwa wanajuwa FIKA! what they were doing. Na ndio maana nasema I can understand Wassira lack of simile ya kushindwa kulipuuzia! Kwa nini iwe upande mmoja? Kwanini usi question wao mabinti kutochukua hizo card kimya kimya? Would it have made them less of CDMs?

AshaDiiNaomba kuwakumbusha: Mkapa katika kampeni Arumeru alisema Vincent Nyerere sio mtoto wa Nyerere. Hope mnakumbuka kilichotokea baada ya hapo maana hadi ndugu za Nyerere walikuja juu na kusema kuwa Mkapa amepotoka.
Anyway huo ni mtazam wangu tu

Siasa sasa hivi imebadilika na ime evolve... Kama ni for the better or worse inategemea mwenye interest ni mambo gani ana observe. Inakuwa kama vile kila mmoja anataka kupanga rules ziwe applicable kwake ila sio kwa wengine. Hata hivo circumstances za swala zima hapo zinakuwa zinatofautiana ingawa on surface kama zafanana.
 
Siku si nyingi tutajua rangi yako halisi...hiyo ndiyo CDM usipoikubali mdomoni utaikubali moyoni

Hivi kuna haja ya kusubiri Basha? si nipo uniulize tu... Kama vile ambavo hata mimi naomba nijue una maana gani hasa kwa hio statement yako...
 
Wana kila sababu ya kutoa ufafanuzi, sababu nao hawaoni fahari kuitwa watoto wa Steven. Wao ni watoto wa Gearge bana!
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Esther Wasira 0655 048797 kwa ufafanuzi

3.jpg

Haya kamanda Zitto jiko hilo, tena ni kamanda mwenzetu. picha inajieleza kamanda
 
Last edited by a moderator:
thank GOD hawajafanana na baba yao mdogo! lol!

Umeona eeh! I can't imagine wangekuwa vipi! BTT. Huyu ba'mdogo alikuwa upinzani na aliukwaa ubunge kwa ticket ya NCCR MAGEUZI kabla hajarudi SISIEM.
 
Umeona eeh! I can't imagine wangekuwa vipi! BTT. Huyu ba'mdogo alikuwa upinzani na aliukwaa ubunge kwa ticket ya NCCR MAGEUZI kabla hajarudi SISIEM.

Huyu mzee anampiga sana vita dr slaa sijui amemkosea nini
 
Hawa mabinti upstairs kuko safi sana haki ya mama, tunawahitaji vijana wenye msimamo na busara kama hawa!!!!!!!
 
Kumbe sio watoto wa Wasira bana.
Kwa vyovyote vile utakuwa unatamani uwanyang'anye ubini wa Wassira hao watoto ili uhalilishe kutokuwepo uhusiano kati yao na Steven Wassira (Mb). Bahati mbaya kwako, hilo lilishapangwa na Mwenyezi Mungu kuwa hawa watoto baba yao mdogo ni Steven Wassira (Mb).
 
Mkuu maishapopote eleza why you strongly disapprove .. Naamini hata wewe wakubali kuwa nina haki ya kujua kwa hoja sio kwa vitufe.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom