democratic
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 1,642
- 295
Kudadeki watu mna hasira, itakuweje siku so and so Kikwete akijiunga CDM?
aaaahhh, kwa upande wa dhaifu hapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kudadeki watu mna hasira, itakuweje siku so and so Kikwete akijiunga CDM?
..Yule mzee oppportunist tu hana lolote kwa jinsi alivyo-appear kwenye TV anavyowakana hao mabinti utadhani ametenda dhambi ya kula nyama ya mtu wakati ni watoto wa mdogo wake waliyezaliwa pamoja kisa kuwaogopa magamba!!....Bure kabisa bora arudi gombe tu!!Dr. Wassira aka mtemi wa Mahale Pangua hoja hiyo.......watoto wa kaka yako ni nani kwako?
>>>:juggle:Hawa watoti ni Bab Kubwa.CDM mmelamba dume.
Political promo hiyo wameshapata, baadae watakuwa na kazi ndogo tuu kuwakumbusha wa TZ pindi watakapokuwa na nia ya kugombea nafasi yoyote, wasiwalaumu waandishi kama ni kweli wana nia ya kufika mbali kisiasa.
Nam support Wassira kuliweka wazi kuwa wale sio wanawe na kwamba wa ndugu yake... ingawa kauli yake inaonesha wazi ni namna gani amekereka; .
Wasira atueleze mashambulizi aliyoelekeza kwa Dr Slaa ya kutafuta umaarufu kwa mgongo wa jina lake anayasemeaje? Au ataomba radhi?
ni watoto wa Wassira dam dam sema siyo Steven ni George, hata hivyo ni watovu wa nidhamu kwa mshua wao aliyewalea na kulipa umaarufu jina laoKumbe sio watoto wa Wasira bana.
hawana lolote hawa wanatafuta umaarufu tu. pengine ukute wametumwa na baba yao kuja kuivuruga chadema tu hawa ni wa kuwaangalia kwa umakini sana
Mkuu hii habari ilishawekwa na namba zao ziliwekwa. Asante kwa taarifa
Nimeona nitoe ufafanuzi kwa umma......! Hawa sio watoto wangu wa kuzaaaa.......! Hili zee linasikitisha sana! Yaani unawakana wanao kwa sababu ya chama? watoto wa kaka yako ni watoto wa nani? After all nani alitaka ufafanuzi huo!