Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
Walikuwepo wasanii wa msimu kama huyo dogo lakini hawakuweza kuipoteza almas, sasa na yeye nampa miezi hii mpaka December tu atakuwa asharudi kugongea ugoro na k vant
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujui Dunia inavyoenda😂 Ety kaingia mkataba na shetani, umasikini utakuua
Labda auvunje ule mkatabaWalikuwepo wasanii wa msimu kama huyo dogo lakini hawakuweza kuipoteza almas, sasa na yeye nampa miezi hii mpaka December tu atakuwa asharudi kugongea ugoro na k vant
Ni kweli huwa sipendi kelele za amapiano au viitikio vya ki-kwaya kwayaMkuu wewe unaishi nyuma ya muda sana
Inaonyesha hua unaumia kwa vitu vidogo sanaUjui Dunia inavyoenda
Kama vipiInaonyesha hua unaumia kwa vitu vidogo sana
Mimi pia huwa najiuliza sana sijui kawakosea nini jamani halafu wakati uo uo wanapenda mziki wa bongo ufike mbali bila kuwapa support hao wasaniiHivi Wabongo mbona huwa mumesubiri sana kwa hamu anguko la Diamond, jamaa kawakosea nini, ni msanii mzuri sana na tunapenda kazi zake ukanda huu wa Afrika.
Mimi pia huwa najiuliza sana sijui kawakosea nini jamani halafu wakati uo uo wanapenda mziki wa bongo ufike mbali bila kuwapa support hao wasanii
cocastic