Watoto wadogo ndani ya hijab

Watoto wadogo ndani ya hijab

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
Yaani tangia Kikwete aruhusu wazazi wa kiislamu watoto wao wawavalishe hijab basi watoto wadogo wengine hata kutembea mtu amemvalisha hijab na ya kubana kabisa na joto hili😳😳😳 kwanza shule za serikali viishilio vya dini haviruhusiwi km mkufu etc lakini bado hawa wamekazana. Ujinga wa wap huu?

Dini iwe yako na umuache mwanamke mtu mzima aamue kuvaa huo ushungi; unaanzaje to impose mtoto mdogo this? Waafrika wengi wajinga na hata dini yenyewe hawaielewi; kwana hijab au hata niqab hazijatajwa popote kw Quran; tena Niqab, Burka or Ninja ya Taliban ndo hazihusiani kabisa na Uislamu bali ni mautamaduni ya watu waishayo kw janga uko kuwalinda macho na nyuso kw gharika la vumbi ila cc waafrika km kawa kuiga tu ni sawa tuvae makoti mazito na joto hili.

Pili hijab pia haitajwi bali Quran imesema kuvaa vizuri au dress modestly which naweza kuelewa kuvaa nguo isiyo chini ya magoti, nguo ya kubana, mipasuo, kuwa kifua wazi, top, bikini etc ila km kawa hijab imekuja ila ni utamaduni hadi Saudi Arabia imeruhusu wanawake wasivae hijab km hawataki na haiwalazimishi tena km Iran au Afghanistan ila kuna mizazi mijinga tu italazimisha watoto wavae.

Niulize swali kwa wanaume walionyooka; ivi mwanamke akipita unaconcentrate kw nywele au matiti, makalio, hips, mapaja au uso? Yaani mdada akivaa hijab na uku chini bikini italeta diff gan; km iyo haitoshi nani anaweza mtaman mtoto mdogo hata akiwa uchi unless ni pedophile tu? Upuuzi mtupu hapo wanataka wamprogram uyo mtoto ili awe guilty akija kuvua.
 
Utasikia wanakuambia, chakula kilichofunikwa na kilochoachwa wazi utachagua kipi?

Utasikia Mashallah, mwanamke Stara

Stupidity at its best. Kwamba kuvaa stara eti ni kwa ajili ya kumlaghai mwanaume kwamba wajisitiri na wala huna uhovyo.

Enyi Wana wa Ishamael, nani kawaloga? Tabia ndiyo kielelezo kikuu cha ustaarabu. Uvae nikabu, umefunika pua na kila mahali, ila tundu la choo limepanuka ka birika la Hoteli.

Pathetic!.
 
Yaani tangia Kikwete aruhusu wazazi wa kiislamu watoto wao wawavalishe hijab basi watoto wadogo wengine hata kutembea mtu amemvalisha hijab na ya kubana kabisa na joto hili[emoji15][emoji15][emoji15] kwanza shule za serikali viishilio vya dini haviruhusiwi km mkufu etc lakini bado hawa wamekazana. Ujinga wa wap huu?

Dini iwe yako na umuache mwanamke mtu mzima aamue kuvaa huo ushungi; unaanzaje to impose mtoto mdogo this? Waafrika wengi wajinga na hata dini yenyewe hawaielewi; kwana hijab au hata niqab hazijatajwa popote kw Quran; tena Niqab, Burka or Ninja ya Taliban ndo hazihusiani kabisa na Uislamu bali ni mautamaduni ya watu waishayo kw janga uko kuwalinda macho na nyuso kw gharika la vumbi ila cc waafrika km kawa kuiga tu ni sawa tuvae makoti mazito na joto hili.

Pili hijab pia haitajwi bali Quran imesema kuvaa vizuri au dress modestly which naweza kuelewa kuvaa nguo isiyo chini ya magoti, nguo ya kubana, mipasuo, kuwa kifua wazi, top, bikini etc ila km kawa hijab imekuja ila ni utamaduni hadi Saudi Arabia imeruhusu wanawake wasivae hijab km hawataki na haiwalazimishi tena km Iran au Afghanistan ila kuna mizazi mijinga tu italazimisha watoto wavae.

Niulize swali kwa wanaume walionyooka; ivi mwanamke akipita unaconcentrate kw nywele au matiti, makalio, hips, mapaja au uso? Yaani mdada akivaa hijab na uku chini bikini italeta diff gan; km iyo haitoshi nani anaweza mtaman mtoto mdogo hata akiwa uchi unless ni pedophile tu? Upuuzi mtupu hapo wanataka wamprogram uyo mtoto ili awe guilty akija kuvua.
Ila mm sijakuelew kwakwel maana unavyondik
 
Yaani tangia Kikwete aruhusu wazazi wa kiislamu watoto wao wawavalishe hijab basi watoto wadogo wengine hata kutembea mtu amemvalisha hijab na ya kubana kabisa na joto hili😳😳😳 kwanza shule za serikali viishilio vya dini haviruhusiwi km mkufu etc lakini bado hawa wamekazana. Ujinga wa wap huu?

Dini iwe yako na umuache mwanamke mtu mzima aamue kuvaa huo ushungi; unaanzaje to impose mtoto mdogo this? Waafrika wengi wajinga na hata dini yenyewe hawaielewi; kwana hijab au hata niqab hazijatajwa popote kw Quran; tena Niqab, Burka or Ninja ya Taliban ndo hazihusiani kabisa na Uislamu bali ni mautamaduni ya watu waishayo kw janga uko kuwalinda macho na nyuso kw gharika la vumbi ila cc waafrika km kawa kuiga tu ni sawa tuvae makoti mazito na joto hili.

Pili hijab pia haitajwi bali Quran imesema kuvaa vizuri au dress modestly which naweza kuelewa kuvaa nguo isiyo chini ya magoti, nguo ya kubana, mipasuo, kuwa kifua wazi, top, bikini etc ila km kawa hijab imekuja ila ni utamaduni hadi Saudi Arabia imeruhusu wanawake wasivae hijab km hawataki na haiwalazimishi tena km Iran au Afghanistan ila kuna mizazi mijinga tu italazimisha watoto wavae.

Niulize swali kwa wanaume walionyooka; ivi mwanamke akipita unaconcentrate kw nywele au matiti, makalio, hips, mapaja au uso? Yaani mdada akivaa hijab na uku chini bikini italeta diff gan; km iyo haitoshi nani anaweza mtaman mtoto mdogo hata akiwa uchi unless ni pedophile tu? Upuuzi mtupu hapo wanataka wamprogram uyo mtoto ili awe guilty akija kuvua.
Vipi hawa wamevaaje?
 
Attachments

  • Screenshot_20231017-104344_Chrome.jpg
    Screenshot_20231017-104344_Chrome.jpg
    66.7 KB · Views: 5
Sisi wavaa Pempass tulioruhusiwa kupumuliana na Papa huko Vatican tunaangalia tu...
Papa sio Kiongozi wa wakristo, ni kiongozi wa Wakatoliki... Kumbe wewe ni mkatoliki mnapumuliana tu, na wewe wanakupumulia tu? Maana umeandika mnaruhusiwa kupumuliana, mmepuliwa mara ngapi
 
Hata maana ya hijab yenyewe hujui kazi kukurupuka tu... Ovyoo
Wewe unajua? Umetoa evidence yoyote hijab kutajwa kw Quran au we ndo unakurupuka tu? Kapige puchu acha watu wazima waendelee na mada
 
Nimelalamika watoto wadogo kuwa imposed sio wanawake watu wazima. Sawa sawa kukataa pedophilia na sio consensual sex kati ya watu wazima. Msomage hadi mwisho; hata kichwa cha habari kinasema watoto ndan ya hijab alafu nsyuka km nyie mnakuja kwa kukurupuka. Kuna masista wacatholic watoto wadogo?
 
Back
Top Bottom