Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Not true....usipende kuamini hivi vitabu kwani kuna kingine kimeletwa na shetani (Qur'an) na kingine kimetungwa tu na watu. Mungu anahusika na nini hapa?Ukweli utabaki kua ukweli tu hata kama majority ya watu hawautaki, kuvaa kwa kujistiri ni agizo la Mungu,
Huwezi sema mwanamk avae hovyo alaf awe na tabia nzur, hiyo ni automatic, kwasbb "anaejiheshim hawezi kuvaa hovyo" (wala haimanishi kila anaevaa stara ana tabia nzur) lkn kua na tabia mbaya sio kigezo cha kwamba asivae stara. Tabia zinabak kua za mtu binafsi, wanaovaa stara wasikashifiwe, wasiovaa stara waelimishwe lkn wasilazimishwe.