Yaani tangia Kikwete aruhusu wazazi wa kiislamu watoto wao wawavalishe hijab basi watoto wadogo wengine hata kutembea mtu amemvalisha hijab na ya kubana kabisa na joto hili😳😳😳 kwanza shule za serikali viishilio vya dini haviruhusiwi km mkufu etc lakini bado hawa wamekazana. Ujinga wa wap huu?
Dini iwe yako na umuache mwanamke mtu mzima aamue kuvaa huo ushungi; unaanzaje to impose mtoto mdogo this? Waafrika wengi wajinga na hata dini yenyewe hawaielewi; kwana hijab au hata niqab hazijatajwa popote kw Quran; tena Niqab, Burka or Ninja ya Taliban ndo hazihusiani kabisa na Uislamu bali ni mautamaduni ya watu waishayo kw janga uko kuwalinda macho na nyuso kw gharika la vumbi ila cc waafrika km kawa kuiga tu ni sawa tuvae makoti mazito na joto hili.
Pili hijab pia haitajwi bali Quran imesema kuvaa vizuri au dress modestly which naweza kuelewa kuvaa nguo isiyo chini ya magoti, nguo ya kubana, mipasuo, kuwa kifua wazi, top, bikini etc ila km kawa hijab imekuja ila ni utamaduni hadi Saudi Arabia imeruhusu wanawake wasivae hijab km hawataki na haiwalazimishi tena km Iran au Afghanistan ila kuna mizazi mijinga tu italazimisha watoto wavae.
Niulize swali kwa wanaume walionyooka; ivi mwanamke akipita unaconcentrate kw nywele au matiti, makalio, hips, mapaja au uso? Yaani mdada akivaa hijab na uku chini bikini italeta diff gan; km iyo haitoshi nani anaweza mtaman mtoto mdogo hata akiwa uchi unless ni pedophile tu? Upuuzi mtupu hapo wanataka wamprogram uyo mtoto ili awe guilty akija kuvua.
Ukweli utabaki kua ukweli tu hata kama majority ya watu hawautaki, kuvaa kwa kujistiri ni agizo la Mungu,
Huwezi sema mwanamk avae hovyo alaf awe na tabia nzur, hiyo ni automatic, kwasbb "anaejiheshim hawezi kuvaa hovyo" (wala haimanishi kila anaevaa stara ana tabia nzur) lkn kua na tabia mbaya sio kigezo cha kwamba asivae stara. Tabia zinabak kua za mtu binafsi, wanaovaa stara wasikashifiwe, wasiovaa stara waelimishwe lkn wasilazimishwe.