Watoto wafundishwe; nature inamtaka mhanga ajihami kwani ndiye anayepata madhara

Kwèñye hii Dunia huo mfumo wa matriach upo Asilimia ngapi ukilinganisha na patriach?

Unàtaka kusema kwèñye ngono Mwanamke siô Mhanga ila amefanywa kuwa Mhanga??
Yah ndo mana we unaona unamkomoa wakti yeye anaona normal! We hujiulizikwa nn mwanaume na nguvu za kiume ni big topic?. We hujui kama ngono anasifiwa zaidi mwanaume kwa sabab ya ideology inamtaka yeye kuwa superior na nondo kwenye kila kitu?
 
Mchakato anasifiwa Mwanaume ila matokeo analaumiwa Mwanamke
 
(hapo kwenye serikali pagumu, kama ukipambana na serikali ukaweza kusababisha muamko fulani kwa watu basi umeiathiri)
Je wewe ndugu ulishawahi kufanya hivyo, 👆
Mimi tayari in positive Way
 
Huoni hapo ni binary oppositions?
Yani kulaumiwa kinyume chake ni kusifiwa?

Jinsia/ idea inayoelezea jinsia hizi mbili imebebeshwa pande mbili zilizo na kinyume. Yani mwanaume halii kirahisi, mkomavu, shupavu, kakomaa, kauzu haringi, hadeki etcetera
Alafu mwanamke analia kirahisi, hajakomaa yani laini laini ndo mzuri, mwanamke ua, mrembo, anaringa na kunata, kudeka deka etcetera

Ushajiuliza kwa nn?
 
Tupe tofauti ya nature na nurture
 
Mantiki ni kwa sababu y idea ya mfumo mzima ulivyo. Hii kitu sio nature, ukitaka upruv hili fanya kitu kinachoitwa comparative study

Nature ndîo Iko hivyo.
Kwèñye ngono mwanamke ndiye Mhanga tangu Dunia inaumbwa.

Ndîo maana hata sheria za nchi na Dini zîpo wazi kwèñye Hilo.
Mfano, Mwanamke ndiye anabakwa lakini Mwanaume habakwi.

Mwanamke ndiye anayetelekezewa Watoto na siô Mwanaume.
 
Nature haitambui Lawama au kulaumiwa.
Mwenye Ñguvu ndiye anastahili kuishi na kutawala.

Huwezi mlaumu Simba Kwa kumla Au kumjeruhi Swala
Hiyo ni nature.
Huwezi mlaumu Mwanaume Kwa kumwonea Mwanamke hiyo ni nature

Ukianza kumlaumu au kumpa Mafunzo ndîo unaingia kwèñye nurture
 
Tunarudi palepale soma vizuri kuhusu nature na nurture. Ukipata muda mzur soma pia kuhusu identity
 
Acha kujitoa anza wewe
 
Expression ya mwanaume ni mtu wa aina gani nje ya viungo vya mwili ni nurture
Nurture ipo applicable kwa mwanaume tu? kama ipo applicable kwa jinsia zote mbili mimi naona mtoa mada yupo sahihi. Mwanamke kuwa victim katika masuala aliyoyaongelea hii ni nature sio nurture mfano mimba kibaiolojia ina athari za moja kwa moja kwa mwanamke ukilinganisha na mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…