Watoto wako walibadilisha vipi maisha Yako...!

Mimi mtoto wangu wa kwanza amenibadilisha nisiwe napuyanga kwenye mitandao ya kijamii, yaani hata kushika simu najionea uvivu nimepunguza kwa kiasi kikubwa.
πŸ˜„Mbna kupuyanga dada
Ndio Raha hiyo uzazi wa kwanza ni WA kupata experience kilakitu kinakuwa kipya yaan unaanza maisha upya
 
Based on true stories ndo ugonjwa wangu
 
leta maneno, shusha uzi
 
It is short, simple and sweet Hongera sana
 
Kingine mtoto wangu amenibadilisha kuweza kuweka akiba kwa kweli nilikuwa na matumizi mabaya ya pesa yaani nikiona nguo nzuri nitanunua tu ila kwa sasa nina bajeti kama Muha 😁
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hongera sana ila kwann waha sitaki kuamini umekuwa bahili kiasi ichoπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…