Aiylan wasalan
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 730
- 1,478
Labda,nitauliza sku nikipata nafas za kubonga nao.Watoto wote wa historia nzuri Kwa wazazi hata wa mwisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda,nitauliza sku nikipata nafas za kubonga nao.Watoto wote wa historia nzuri Kwa wazazi hata wa mwisho
Umenijibia mimi.Mimi mtoto wangu wa kwanza amenibadilisha nisiwe napuyanga kwenye mitandao ya kijamii, yaani hata kushika simu najionea uvivu nimepunguza kwa kiasi kikubwa.
😄Mbna kupuyanga dadaMimi mtoto wangu wa kwanza amenibadilisha nisiwe napuyanga kwenye mitandao ya kijamii, yaani hata kushika simu najionea uvivu nimepunguza kwa kiasi kikubwa.
😍Mpaka najiuliza kwa nini maana ilikuwa kila baada ya saa niko online 😁😁😁Umenijibia mimi.
Mpaka nimeacha kuendekeza mitandao siamini maana ilikuwa kila mda niko na simu ilifikia kipindi nikahisiwa nina michepuko kumbe wapi napiga umbea Jf.😄Mbna kupuyanga dada
Ndio Raha hiyo uzazi wa kwanza ni WA kupata experience kilakitu kinakuwa kipya yaan unaanza maisha upya
Based on true stories ndo ugonjwa wanguNatumaini mkopoa
Natamani kujua namna malezi ya watoto wenu yalivoleta changes kwenye maisha ya wazazi wengi
Nitaanza na mm story yangu ya kweli lakin nilisimuliwa na mamayangu pia Kwa kias baba japo baba hakuuwa msimuliaji nzuri
NB
Visa nilivopata Kwa muda tofaut tofaut mara nying nilikuwa nauliza maswali Kwa mama hiki vipi hiki sababu nn
Mamayangu ni mtu muwazi sana na
NAmi nimeviunganisha kuwa story fupi vipi maisha ya wazazi wangu yalibadilika baada ya kupata watoto
Ni true story
Sehemu ya 1
Mamayangu alichukuliwa na nduguzake kutoka mkoani kuja dar Kipindi hiko kutoka kijijini kuja mjini uwe na connections ya hali ya juu😀 sabbu ya umbali na barabara mbovu
Akafanikiwa kufika na kuanza Kuishi hapo
Jirani ya hayo maeneo kulikuwa na bar inasemekana baba ndo ilikuwa mitaa yake yupo hapo muda wote akitoka kazini
Mzee alikuwa mnywaji mzuri pia hakuwa na mke Wala mtoto alokuwa anaishi nae
Kuhus maisha yake ya nyuma
Alikuwa na mke na walipata mtoto mmoja wa kike ambae ni dadayetu miaka ya nyuma walikuwa wanaishi pamoja na huyo mama baada ya muda baba akapta safari kwenda kozi(sijui inaitwaje jina lingine ila wanajeshi wanaelewa)alkaa ka muda kidogo,alivorudi akakuta mkewe ameolewa na rafikiyake na wanaishi pamoja na mke ni mjamzito ana mimba ya yule rafikiyake
Ugomvi ulikuwa Mkubwa sana baba akaamua akamchukua mwanae akamuachia kilakitu yule mwanamke mtoto akampeleka Kwa wazaziwake
So akaamua kulea mwanae akiwa huko
Hivyo had anafikia umri wa miaka 41 hakuoa Tena Wala hakuwa na mtoto mwingine maisha yake Ilikuwa ni kazi na pombe
Tuendelee Sasa
Baada ya kukutana na mama
Mama akapata ujauzito wake wa kwanza ikawa ngumu sana sabbu alikuwa anaishi Kwa ndugu wakakubaliana wamrudishe kijijini Kwao ila baba akaamua kumchukua akajitambulisha na kuanza Kuishi nae na kulea mimba
Maisha yakaanza mzee alikuwa na kitanda kimoja Cha chuma nafikiria mnajua vile vitanda vya jeshin pamoja na vyombo vichache kipind chote Cha maisha yake hakuwa anafikiria chochote kuhus kuoa Wala kuwa na watoto Tena Ilikuwa akitoka kazini ni pombe
Mshahara ukitoka hakuna kinachofanyika had unaisha
Inaendelea ni fupi naimaliza soon
Usifanye masihara na ulezi wa mtoto unakuwa uko hoi😁😁Kama ni hivo najiombea na mm 😂😂
Maana simu naiacha mda wa kupika tu 😂😂
😂😂😂😂Nikiona story kama hizi na scroll down kuangalia kama kuna kitu kinaitwa nitaendelea, nikiona hivi najua hawa ndio walewale HAMAS wa gaza wasiomaliza vita.
leta maneno, shusha uziSehemu ya pili
Safari ikaanza mama alitengwa na wale ndugu zake inasemekana hivo hakuwa na ndugu wa karibu Zaid ya majirani na babayetu hivo kazi ya uangaliz ikawa chini yake pia ndo ulikuwa ujauzito wa kwanza kwake ikabidi mzee aanze kujipanga kupokea mtoto wakat huo mamboyake anapiga kama kawa ila akapunguza kias Ili kuanza kujiandaa kupokea mgeni
Nikawazaliwa nikiwa na afya njema wakafurahi mama alisema babaangu alichagua majina Hadi wakamsitisha maana alikuwa na majina Zaid ya Saba Kwa kulazimisha akanipa majina mawili moja likawa common 😀😀 kasheshe za malezi zikaanza
Baada ya Miaka miwili wakawa wamepanga nyumba sehemu nyingine wameongeza na kitandapamoja na vitu vya ndani
Babaangu alikuwa ananipenda sana na alikuwa anahakikisha sikosi chochote alichokuwa na uwezo nacho
Ilikuwa lazima Kila baada ya miez miwil mitatu napigwa picha za kumbukumbu achilia mbali sikukuu 😄
(Picha za location za kwenye maua zilikuwa za kutosha 😀😀)
Nilipofika miaka miwil na nusu mama akapata ujauzito wa pili
Hapa ndo mambo yakawa mazito
Walikuwa wamepanga Bado hawakuwa na uwezo wa kumuajir mfnyakazi pia mama alikuwa mama wa nyumbani akaamua kupambana na malezi
Ilikuwa lazima aende sokoni na alikuwa hapendi kuacha watoto kwa majirani hivo ikawa inamtesa sana
Ikamlazimu baba awe anarudi nyumbani mapema Ili kumasaidia mama kukaa na mm mama akiwa anafanya shughuli zingine mimba ikawa kubwa Zaidi kwenda na tumbo na mtoto sokoni ikawa shughuli hivo msaada ulikuwa ni baba akirudi akae na mm mama ndio aende sokoni
Akaanza kukosa zile meeting 😀 za jion akaanza kuwa hatoki hata weekend na akitoka bas hachelew atarudi mabadiliko yakaongeza akawa karibu zaidi na familia majukumu pia yalikuwa yanaongezeka wakat huo
It is short, simple and sweet Hongera sanaSehemu ya 3
Baada ya mdogo wangu kuzaliwa kasheshe zikaongeza watoto wawili nyumbani Tena wadogo wote ikabidi atulize mpira Sasa apambane na familia
Wakanunua kiwanja wakaanza ujenzi taratibu. Hatimaye tukahamia
Akawa haendi Tena kunywa anasubir mwisho wa mwez Huwa wanapewa vinywaji kazini na nyama bas atarudi navyo hivo na bia atabeba ila chache na atanywea nyumbani na siiss tutapewa soda Zetu
Hadi nafika miak 11 sikumuona baba akirudi usiku mwing wala kumuona amelewa,
Akiwa Hana kazi weekend ni kutupigisha story huku tunamsaidia kubrush viatu vyake
bia zikiwa ndani zikiisha haongezi zingine ikafika wakat akawa harud na bia Tena ni Malta na soda tu akaamua kuacha pombe km alikuwa anakunywa bas Kwa Siri sana
Mabadiliko yake yalikuwa makubwa na yalifanya wakapiga hatua sana alikuwa anashukurun sana kuzaliwa kwangu na mdogowangu maana bila kupachika yule bint mimba 😄angeishi maishayake yote akiwa mlevi na Hana maendeleo yoyote
NAmi nashukuru sana alikuwa babayang am proud of him a lot
Imeisha natamni tuone experience zenu baada ya kuwa wazazi tujifnze 😍😍
Kingine mtoto wangu amenibadilisha kuweza kuweka akiba ya pesa kwa kweli nilikuwa na matumizi mabaya ya pesa yaani nikiona nguo nzuri nitanunua tu ila kwa sasa nina bajeti kama Muha 😁Nilikuwa namuona dadaangu alafu katoto kalikuwa kanalia balaa 😀😀
😂😂😂😂Sijui ni kwa nini, yani kuna Me hata kumshika mtoto dk2 hawezi. Labda ni tumeumbwa tofauti.
😂😂😂😂Bado
😂😂😂Hongera sana ila kwann waha sitaki kuamini umekuwa bahili kiasi icho😂😂Kingine mtoto wangu amenibadilisha kuweza kuweka akiba kwa kweli nilikuwa na matumizi mabaya ya pesa yaani nikiona nguo nzuri nitanunua tu ila kwa sasa nina bajeti kama Muha 😁