Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Yani amenishangaza sanaAISEE hapo stress za baba anazibeba huyo kiumbe maskin
ila mchukua video ni mafia
nisingeweza kuvumilia hata sekunde moja
Siyo kisheria tu hata kiakili pia sidhani kama ni mzimaNimeshindwa kuiangalia yote.
Mleta mada, hii imetokea wapi na hali ya huyo malaika ikoje(kama unawafahamu).
Hatua kali za kisheria kwa huyo mama ili iwe fundisho.
Mbeya ipi hiyo mkuu? Siyo tabia ya wanyakyusa, Wandali, Wanyiha au Wanyamwanga hii,labda ni tabia yamtu binafsiKwa huku Mbeya hii ni kawaida mtoto akilelewa na mama wa Kambo.
Kuna moja mwakajana alipigwa sana hadi akakata roho
Acha kabisa x- kocha wangu
Asingerekodi ungejuaje kuwa kuna mtoto alipigwa somewhere?!Wazazi na jamii kwa ujumla hatuna budi kuwapa ulinzi watoto mahali popote pale unapokutana na tukio ambalo si la kiungwana kwa watoto, mtoto hata kama si wako ni wajibu wako kumlinda.
Nimetafakari nikakosa majibu huyu aliyekuwa anachukua video hii alikuwa na roho gani? Badala ya kumuokoa mtoto anapiga Picha, inasikitisha sana.
Huyu mama anatakiwa kufikishwa kwenye vyombo vya Sheria, maana huu ni uhalifu.
View attachment 1793963
Kwa mfano asingerekodi na huyo mtoto anapigwa kila siku na huyo mnyanyasaji, je wewe ungejua kinachoendelea?!Huyu mtoto sidhani kama atakuwa hai! Mama lina roho mbaya kama li meneja langu! Halafu huyo aliyechukua hiyo video anatakiwa awajibishwe! Tuanze na mleta mada amtaje aliyemtumia! Ila TCRA na Polisi kitengo cha cyber crime nao dhaifu sana!