Watoto Walindwe: Mtoto apigwa kama mnyama, ugomvi wangu ni huyu aliyechukua hii video anaroho mbaya sana

Watoto Walindwe: Mtoto apigwa kama mnyama, ugomvi wangu ni huyu aliyechukua hii video anaroho mbaya sana

Wazazi na jamii kwa ujumla hatuna budi kuwapa ulinzi watoto mahali popote pale unapokutana na tukio ambalo si la kiungwana kwa watoto, mtoto hata kama si wako ni wajibu wako kumlinda.

Nimetafakari nikakosa majibu huyu aliyekuwa anachukua video hii alikuwa na roho gani? Badala ya kumuokoa mtoto anapiga Picha, inasikitisha sana.

Huyu mama anatakiwa kufikishwa kwenye vyombo vya Sheria, maana huu ni uhalifu.
View attachment 1793963
By the way, ukiattach file.... Attach separately na uzi, kuna simu zinakataa kuview attached file ukiliattach na uzi moja kwa moja.
 
Nimeshindwa kuiangalia video yote asee.! Kuna haja ya Tech company kuja na technology ambayo inaweza kutrace IMEI ya simu iliyotumika kupiga hiyo camera. That’s more than too much
 
Wazazi na jamii kwa ujumla hatuna budi kuwapa ulinzi watoto mahali popote pale unapokutana na tukio ambalo si la kiungwana kwa watoto, mtoto hata kama si wako ni wajibu wako kumlinda.

Nimetafakari nikakosa majibu huyu aliyekuwa anachukua video hii alikuwa na roho gani? Badala ya kumuokoa mtoto anapiga Picha, inasikitisha sana.

Huyu mama anatakiwa kufikishwa kwenye vyombo vya Sheria, maana huu ni uhalifu.
View attachment 1793963
Huyo msichana hajauawa na wasamaria wema!!
 
Anachomfanya sio kizuri na matokeo yake ndio mabaya zaidi.

Lakini cha ajabu utakuta huyo mtoto akishakuwa atakuwa anasema anamshukuru mama yake kwa alivyomfanyia sababu bila yeye asingefika alipo.

Kingine ni kuwa na tabia ya kutumia nguvu kwenye mambo yanayohitaji akili kama RIP.

Na nyongeza ni huyo mtoto akikuwa atakuwa na aina fulani ya chuki kwa watoto wasiopigwa kwao na kuwaita majunior na kuwaombea mabaya.

Mwenyewe atajiona yuko sawa lakini tayari mentally ni unstable na atafanya yote hayo ili ajifariji, kulipiza kisasi na ajisikie na yeye pia yupo Kwenye control pia ana power.
Na hasara inaweza isiwe kwake tu bali kwa taifa zima (sitegemei uniulize kivipi).
Hata watu wazima wapo humu waliopitia hayo na wenye tabia hizo nilizozitaja wenyewe wanajijua.

Serikali iangalie na ipangilie viwango vya adhabu wanazopewa watoto kutoka kwa wazazi wao.
Ili msitengeneze taifa la ajabu kama United States of America.
 
Thank God siwezi kufungua attached file.

Hapa hizo comments tu......tumbo linakata km nmekula ndimu
 
Huyu mtoto sidhani kama atakuwa hai! Mama lina roho mbaya kama li meneja langu! Halafu huyo aliyechukua hiyo video anatakiwa awajibishwe! Tuanze na mleta mada amtaje aliyemtumia! Ila TCRA na Polisi kitengo cha cyber crime nao dhaifu sana!
Unaweza kulaumu mchukuwa video pasipo kuangalia upande wa pili wa shilingi, mara zote tunatakiwa tusichukuwe sheria mkononi, yawezekana mchukuwa video aliona jambo pekee la kufanya ni kuchukuwa ushahidi, pengine hakuwa na nguvu ya kupambana,
Na kama asingechukuwa video na kuamua kumvaa huyo mama huenda sasa hivi ungekuwa unamjadili yeye kwa kuua au kujeruhi.
Kwetu sisi watu wa usalama tunaamini ni bora uchukuwe maamuzi mabovu kuliko kutochukuwa kabisa.
 
Nimetafakari nikakosa majibu huyu aliyekuwa anachukua video hii alikuwa na roho gani? Badala ya kumuokoa mtoto anapiga Picha, inasikitisha sana.
Hii inaitwa hypoagency. Yaani unamuondolea wajibu huyo mwenye kuadhibu mtoto, na kumtwika mchukua video asiyehusika.

Mwenye kuadhibu mtoto kwa 100% anawajibika pekee kwa aliyoyafanya. Shutuma zozote zielekezwe kwake.
 
Anachomfanya sio kizuri na matokeo yake ndio mabaya zaidi.

Lakini cha ajabu utakuta huyo mtoto akishakuwa atakuwa anasema anamshukuru mama yake kwa alivyomfanyia sababu bila yeye asingefika alipo.

Kingine ni kuwa na tabia ya kutumia nguvu kwenye mambo yanayohitaji akili kama RIP.

Na nyongeza ni huyo mtoto akikuwa atakuwa na aina fulani ya chuki kwa watoto wasiopigwa kwao na kuwaita majunior na kuwaombea mabaya.

Mwenyewe atajiona yuko sawa lakini tayari mentally ni unstable na atafanya yote hayo ili ajifariji, kulipiza kisasi na ajisikie na yeye pia yupo Kwenye control pia ana power.
Na hasara inaweza isiwe kwake tu bali kwa taifa zima (sitegemei uniulize kivipi).
Hata watu wazima wapo humu waliopitia hayo na wenye tabia hizo nilizozitaja wenyewe wanajijua.

Serikali iangalie na ipangilie viwango vya adhabu wanazopewa watoto kutoka kwa wazazi wao.
Ili msitengeneze taifa la ajabu kama United States of America.
Hapana mzee,huyu akikua atakuwa mtu mwenye chuki sana na wamama design ya huyo aliyemlea,akina junior ni special case.tunaowaponda akina junior,tulipigwa sana ila sio kwa kukanyagwa kichwa na kubamizwa chini,tena tukiwa na umri kati ya 8-14 maana huo ndio umri wenye kila aina ya wenge.sio hako ka malaika.
huyo dada ndio akina junior wenyewe sasa.
Hawakupigwa ndio maana hawajui namna ya kuadhibu,wanadhani unajipigia tu.
 
Hii inaitwa hypoagency. Yaani unamuondolea wajibu huyo mwenye kuadhibu mtoto, na kumtwika mchukua video asiyehusika.

Mwenye kuadhibu mtoto kwa 100% anawajibika pekee kwa aliyoyafanya. Shutuma zozote zielekezwe kwake.
Aliyepiga mtoto kosa lake ni hilo,aliyerekodi kosa lake ni kutozuia mhanga asidhulike.
Ushawahi ona sehem watu wanatawanyika na kunong'ona kwamba hawataki ushahidi!!!

Huyu mtoto kama angekata moto huyu ndugu yetu video angeifuta,na kubaki analialia moyoni.
 
Unaamua ugomvi unatolewa jino. Limtu linapiga mwanae mi niingilie ili iweje. Bora tu uchukue video ili uwe ushahidi kama atauwa
Mtoto wa mtu ni mtoto wa jamii nzima,hata kama amebaka mwenzake.akiwa anapigwa akakimbilia kwako,au ukaona kipigo kimezidi kutoka kwa wazazi wake msaidie.
Mzazi wake pale anaongozwa na mihasira,ambayo muda na saa yoyote lawama tele.
 
Hii video sidhani kama ni ya hivi karibuni... Niliwahi kuiona muda mrefu kidogo humu humu jf
 
Asingerekodi ungejuaje kuwa kuna mtoto alipigwa somewhere?!
member: 227026"]
Asingerekodi ungejuaje kuwa kuna mtoto alipigwa somewhere?!
[/QUOTE]
NaunNi
Aliyechukua video anastahili pongezi.
[/QUOTE Aliyerekodi kosa lake labda ni urefu wa video ila kwa upande mwingine amesaidia kuvumbua uovu na uhalifu wanaofanyiwa watoto bila yy watu hawangejua haya na pengine huu uzi usingekuwepo
 
Back
Top Bottom