By the way, ukiattach file.... Attach separately na uzi, kuna simu zinakataa kuview attached file ukiliattach na uzi moja kwa moja.Wazazi na jamii kwa ujumla hatuna budi kuwapa ulinzi watoto mahali popote pale unapokutana na tukio ambalo si la kiungwana kwa watoto, mtoto hata kama si wako ni wajibu wako kumlinda.
Nimetafakari nikakosa majibu huyu aliyekuwa anachukua video hii alikuwa na roho gani? Badala ya kumuokoa mtoto anapiga Picha, inasikitisha sana.
Huyu mama anatakiwa kufikishwa kwenye vyombo vya Sheria, maana huu ni uhalifu.
View attachment 1793963
Asinge chukua video tungejuaje na inawezekana si mara yakwanza huyo mama kutoa kichapo namna hiyo na huenda walimchoka na kuamua kufanya hayo alioyafanyaNimeshindwa kuiangalia video yote aisee,
Nina inami huyo Mama pamoja na aliyerekodi hiyo clip watakamatwa na kuchukuliwa hatua kali.
Huyo msichana hajauawa na wasamaria wema!!Wazazi na jamii kwa ujumla hatuna budi kuwapa ulinzi watoto mahali popote pale unapokutana na tukio ambalo si la kiungwana kwa watoto, mtoto hata kama si wako ni wajibu wako kumlinda.
Nimetafakari nikakosa majibu huyu aliyekuwa anachukua video hii alikuwa na roho gani? Badala ya kumuokoa mtoto anapiga Picha, inasikitisha sana.
Huyu mama anatakiwa kufikishwa kwenye vyombo vya Sheria, maana huu ni uhalifu.
View attachment 1793963
Asingerekodi ungejuaje kuwa kuna mtoto alipigwa somewhere?!
Hii ni ushahidi iwapo huyo mama atapelekwa mahakamaniKwa mfano asingerekodi na huyo mtoto anapigwa kila siku na huyo mnyanyasaji, je wewe ungejua kinachoendelea?!
Bora usiitazame du!! nimeumia sana, mtoto anainuliwa anabamizwa chini anakanyagwa kichwanitumbo linakata km nmekula ndimu
Unaweza kulaumu mchukuwa video pasipo kuangalia upande wa pili wa shilingi, mara zote tunatakiwa tusichukuwe sheria mkononi, yawezekana mchukuwa video aliona jambo pekee la kufanya ni kuchukuwa ushahidi, pengine hakuwa na nguvu ya kupambana,Huyu mtoto sidhani kama atakuwa hai! Mama lina roho mbaya kama li meneja langu! Halafu huyo aliyechukua hiyo video anatakiwa awajibishwe! Tuanze na mleta mada amtaje aliyemtumia! Ila TCRA na Polisi kitengo cha cyber crime nao dhaifu sana!
Hii inaitwa hypoagency. Yaani unamuondolea wajibu huyo mwenye kuadhibu mtoto, na kumtwika mchukua video asiyehusika.Nimetafakari nikakosa majibu huyu aliyekuwa anachukua video hii alikuwa na roho gani? Badala ya kumuokoa mtoto anapiga Picha, inasikitisha sana.
Hapana mzee,huyu akikua atakuwa mtu mwenye chuki sana na wamama design ya huyo aliyemlea,akina junior ni special case.tunaowaponda akina junior,tulipigwa sana ila sio kwa kukanyagwa kichwa na kubamizwa chini,tena tukiwa na umri kati ya 8-14 maana huo ndio umri wenye kila aina ya wenge.sio hako ka malaika.Anachomfanya sio kizuri na matokeo yake ndio mabaya zaidi.
Lakini cha ajabu utakuta huyo mtoto akishakuwa atakuwa anasema anamshukuru mama yake kwa alivyomfanyia sababu bila yeye asingefika alipo.
Kingine ni kuwa na tabia ya kutumia nguvu kwenye mambo yanayohitaji akili kama RIP.
Na nyongeza ni huyo mtoto akikuwa atakuwa na aina fulani ya chuki kwa watoto wasiopigwa kwao na kuwaita majunior na kuwaombea mabaya.
Mwenyewe atajiona yuko sawa lakini tayari mentally ni unstable na atafanya yote hayo ili ajifariji, kulipiza kisasi na ajisikie na yeye pia yupo Kwenye control pia ana power.
Na hasara inaweza isiwe kwake tu bali kwa taifa zima (sitegemei uniulize kivipi).
Hata watu wazima wapo humu waliopitia hayo na wenye tabia hizo nilizozitaja wenyewe wanajijua.
Serikali iangalie na ipangilie viwango vya adhabu wanazopewa watoto kutoka kwa wazazi wao.
Ili msitengeneze taifa la ajabu kama United States of America.
Aliyepiga mtoto kosa lake ni hilo,aliyerekodi kosa lake ni kutozuia mhanga asidhulike.Hii inaitwa hypoagency. Yaani unamuondolea wajibu huyo mwenye kuadhibu mtoto, na kumtwika mchukua video asiyehusika.
Mwenye kuadhibu mtoto kwa 100% anawajibika pekee kwa aliyoyafanya. Shutuma zozote zielekezwe kwake.
Mtoto wa mtu ni mtoto wa jamii nzima,hata kama amebaka mwenzake.akiwa anapigwa akakimbilia kwako,au ukaona kipigo kimezidi kutoka kwa wazazi wake msaidie.Unaamua ugomvi unatolewa jino. Limtu linapiga mwanae mi niingilie ili iweje. Bora tu uchukue video ili uwe ushahidi kama atauwa
member: 227026"]Asingerekodi ungejuaje kuwa kuna mtoto alipigwa somewhere?!
Aliyechukua video anastahili pongezi.
[/QUOTE Aliyerekodi kosa lake labda ni urefu wa video ila kwa upande mwingine amesaidia kuvumbua uovu na uhalifu wanaofanyiwa watoto bila yy watu hawangejua haya na pengine huu uzi usingekuwepo