co fm
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,541
- 2,487
Habarini za humu wana jamii, I hope mmeamka vizuri sana leo pamoja na changamoto ya tozo katika taifa letu hapa Tanzania.
Kuna kautafiti kadogo nimekafanya na nimegundua kwamba asilimia kubwa sana ya watoto waliotelekezwa na baba zao huwa wanakismati sana katika maisha. Yaani hata kama sio kifedha ila kuna angle ambayo he/she is lucky kuliko wale ambao hawajatelekezwa.
Hii ni miongoni mwa mifano hai kabisa:-
Ni mshikaji wangu kabisa yaani toka anazaliwa mpaka leo ni mtu mzima hamjui baba yake yaani hata jina analotumia ni la babu yake kizaa mama yake, sasa huyu mwana tokea anasoma he was very bright na gifted, leo hii anafanya kazi Standard Charted Bank tena position nzuri at very young age na katika darasa lao yeye ndo kafanikiwa kupata kazi nzuri kama hiyo.
Kuna wengine mifano mingi tu
Ushauri: wanaume tusikatae mimba au watoto wakija baadae kufanikiwa utaona aibu kuomba hata msaada; na wanawake, mwanaume akikataa mimba au mtoto just mlee tu Mungu atamsaidia na kuwa sucessful baadae.