YphNet
Member
- Sep 3, 2022
- 63
- 107
Hii ni nature ambayo Mungu mwenyewe ameiseti, hata kipindi hicho wakiwemo akina Nabii Yusuf (A.S.). BUT ukisema umtelekeze mwanao kwa makusudi ili mtoto afanikiwe kwa asilimia kubwa haitokei ng'oo 🙁.Kuna kautafiti kadogo nimekafanya na nimegundua kwamba asilimia kubwa sana ya watoto waliotelekezwa na baba zao ...