Sidhani sample yako ni ndogo Sana Mie naona watoto wengi waliofanikiwa sio waliotelekezwa sihitaji hata kutaja mifano maana ni wengi Sana.
Sasa huwa zinavuma stori za watoto waliotelekezwa au kosa matunzo ya wazazi wao hata kama ni mmona Kati ya milioni basi story Yake utavumishwa Sana na watu wataanza kusema watoto waliotelekezwa wanabahati hakuna kitu kama hicho.
Mtoto kama atakua vizuri atelekezwe asitelekezwe atakua vizuri tu.
Toka tumepata Uhuru kuna raisi, makamu wa raisi au waziri mkuu ambae alitelekezwa na wazazi wake?
Hizi zinabaki hisia tu ukiona watu wachache Kati ya kundi kubwa unasema sababu ya kufanikiwa kwao ni kutekekezwa kwao kitu ambacho si kweli.
Tulee watoto wetu vyema kwa malezi Bora.