Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Na ni kwanini hii hali inakuwa inatokea?Nahisi chanzo huwa ni wivu tuu + kila mmoja kujitaka kujionesha mwamba
Wivu:Na ni kwanini hii hali inakuwa inatokea?
Vipi kuhusu malezi kwa wazazi,yanaweza kuchangia?Wivu:
wivu haswa wa kimaendeleo mmoja akipanda juu..mwingine anaumia,au kuna kuwa na katabaka flani hivi,yule aliyefanikiwa anaweza kubadikika na kuwaendesha wengine(si unajua mambo ya hela
Kila mmoja kutaka kuonekana mwamba:
Nahisi hapa ni Issue nzima ya maamuzi,hata yule mdg hatotaka kujishusha..kibaya zaidi wote wawe pochi nene ndio kabisaaa hamna maelewano.
Kwa mimi nahisi hivyo
Wivu:

Wote mnafamilia?sikua napatana vzuri na kakaangu utotoni ila sasa tunapatana vzuri sana.
NI kweli unachokieleza, kwa mfano halisi nyie watoto wote mnafamilia?Si kweli mfano sisi kwetu tunapendana Sana Sana na kikawaida inavyotakiwa inatakiwa ndugu wapendane iyo kutokupendana inachangiwa zaidi na malezi jinsi watoto wanavyokua wadogo unakuta wazazi hawahamasishi upendo au wazazi kuleta upendeleo na kubagua watoto
Ninyi kwenu mnapendana lakini usiseme sio kweli, unazifahamu familia zote?Si kweli mfano sisi kwetu tunapendana Sana Sana na kikawaida inavyotakiwa inatakiwa ndugu wapendane iyo kutokupendana inachangiwa zaidi na malezi jinsi watoto wanavyokua wadogo unakuta wazazi hawahamasishi upendo au wazazi kuleta upendeleo na kubagua watoto
Nadhani hapa tunaweza kupata majibuMkuu kukosaba kwa ndugu wa tumbo moja kuna sababu nyingi sana. Hizi ni sababu 1wapo ya ndugu hao kukosana
1. Kukosanishwa na wanawake
2. Wivu wa maendeleo
3. Kupenda waganga wa kienyeji
4. Wazazi kuwa na upendeleo wa watoto
5. Mawifi kutaka utawala kwa kaka zao
6. Kutongezeana wake (kwa wanamme) ku-share wanamme (kwa wanawake).
7. Uongo
8. Kupokea maneno ya kuwagombanisha.
NK
Na mimi natumia kanuni hiyo hiyo na imenisaidia. Hata hivyo kwetu tumezaliwa wanaume tupu na hamna kufuatiliana kivile kila mtu na maisha yake na hamna kumaindianaKwa wanaume kila mmoja akiruhusu mwanamke ajadili Mambo ya familia yao ndio mwisho wao.
Hakuna mwanamke anatetea Mambo ya kwenu.
Kugombana kwenu kutakufanya uegemee kwao na ndio furaha yao.
Mke wangu tunajadiliana Mambo ya familia yetu Mimi na yeye.
Ya nilikotoka anapewa taarifa tu.
Ya kwao hayanihusu ni yake na ndugu zake.
Atanihusisha kama Kuna mchango unahitajika
Yes yesWivu: