Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,723
Tumbo moja, mmoja akishajua kucheza na ulimwengu wa roho uadui huanza!
Haahaahaa[emoji86][emoji86][emoji1787]itakuwa mnaroho mbaya na hiyo roho mbaya mmerisi kutoka kwa wazazi wenu
Mmh hao ni too muchAisee mm nimeshuhudia jirani zangu kabisa wale watoto ni mama mmoja na baba mmoja lakini hawapendani hata kidogo mpaka huwa nauliza wanamatatizo gani? Maana ilifikia kipindi wanachomeana nguo wanashikiana visu sijajua tatizo huwa ni nini
Ndio hivyo, kwenye familia zetu hizi kuna mambo mengi sana
9. MIRATHI
Mmh hao ni too much
Wansishi eneo moja?
Kwann alikaidi mawazo ya maza ako?Kabisa ilifikia kipindi maza akamfuta mama yao akamwambia waite watoto wako wote waje uongee nao kama kuna mwenye shida na mwenzake waombane msamaha yaishe ungali hai akadharau now hali ndio imezidi kuwa mbaya coz hata mama yao akiwatafuta kuwajulia tu hali wanamblock yaani hadi sometimes namuoneaga huruma
Hee wamemuua?Hii ndio mbaya, yaani,hapa majuzi,Kuna mtu alifariki akaacha eneo,watoto wakagawana sehemu ya Hilo eneo,la pili,wakashindana kwa sababu mmoja alitaka mgawo mkubwa kuliko wengine,(wako watatu) mmoja inasemekana wakaamua kumuua ili wabaki wawili wagawane pasu,wakashindana,mmoja akachukua eneo lote na kumuacha huyu mwingine.yaani Mali ya urithi ni mbaya Sana!
Kwann alikaidi mawazo ya maza ako?
Na naamini huyo mama ndo chanzo
Hilo ni balaa[emoji848]Zamani walikuwa wanaishi homekwao now kila mtu anamaisha yake lakini wakikutana likizo ni balaa tupu
Hawa wengi huwa hawapendani kabisa kila Jambo ni mashindano tuWanaozaliwa ktk uke wenza au ndoa za mitara, usipime vita vyao
Umeona eeh, omba yasikukute[emoji848]Ubaguzi na upendeleo wa wazi wa mzazi kwa baadhi ya watoto au mtoto. Aiseee hiki kitu ni kibaya sana sana sana.
Mwache ajichimbie kaburi lakeYes mama yao ndio chanzo
Teh teh duuh
Mi wazazi wangu wote wapo, ila kila mtoto kivyake kisa ubaguzi wa watoto ndani
Hatuwezi pendana ng'oo, ndo kwanza unaombewa mabaya mweeh
Yaan ndo kiini cha kila kitu
Unakuta mzazi anampambania mtoto fulani anayempenda ili atoboe, ( mpaka anatumia rasilimali zake kumtoa) watoto wengine anatupa kule
Unahisi kutatokea nini zaidi ya chuki
1 & 3 ni majibu sahihi sana kupita mengine, hasa 3. Ukute mtu hana kipato na mwingine ana kipato, asiye na kipato akiugua tu anaenda kwa mganga na mganga anamjaza ujinga. Hapo tayari.Mkuu kukosaba kwa ndugu wa tumbo moja kuna sababu nyingi sana. Hizi ni sababu 1wapo ya ndugu hao kukosana
1. Kukosanishwa na wanawake
2. Wivu wa maendeleo
3. Kupenda waganga wa kienyeji
4. Wazazi kuwa na upendeleo wa watoto
5. Mawifi kutaka utawala kwa kaka zao
6. Kutongezeana wake (kwa wanamme) ku-share wanamme (kwa wanawake).
7. Uongo
8. Kupokea maneno ya kuwagombanisha.
NK
Watoto waliozaliwa tumbo moja wakiwa wadogo huwa wana mshikamano na wanakuwa na upendo ila sasa wakikua na kila mmoja akawa na mji wake ndipo changamoto zinapoanzia.
Ule upendo wa utotoni upotea na kuanza kuwa maadui. Hii huwa ni kwanini?
Nimejaribu kupitia vitabu mbalimbali ikiwamo na biblia ili niweze kupata jibu sahihi lakini bado kufanikisha. Tatizo huwa ni nini wakuu?