Watoto waliozaliwa tumbo moja kuwa na uadui

Watoto waliozaliwa tumbo moja kuwa na uadui

Mungu atakujalia utapata mke kwenye familia yenye upendo na utu. Sikuhizi watu wengi wabinafsi Sana hata mtu ukiolewa au kuoa ndugu ndo wanaleta maneno yakugombanisha, ili our family hata Jambo likitokea huitana, huelekezeana hata kusaidiana ili Mambo yaende na kila mtu awe na amani, mengine hushirikiana hata kiukoo. Kila mtu Yuko happy na mji wake aisee. Mungu alinde tu ukoo wangu na familia yangu
Usije ukaruhusu ndugu zako waingilie uhusiano wenu in any how...Unless uwe unafanyiwa phsyical abuse ila kwa maneno ya chokochoko usipokuwa makini watu wanaweza sema mumeo mbaya au hafai wakakuvurugia nyumba.
 
Mume makini na nyie kuoa jamani, mwanamke asiye na upendo na ushirikiano na alikoolewa naye mchawi tu aisee, ushirikiano ni muhimu pia ndugu washirikiane maana hao ndo wakubebana nilikitokea tatizo, Sasa na mwanaume ukikosa SAUTi ndio majanga.
Halafu huwa nashangaa sijui kwa nini wanawake wanatumia nguvu kubwa kumkosanisha mtu na ndugu zake, wakati familia ikiwa na amani hata yeye ataishi kwa amani
 
Halafu huwa nashangaa sijui kwa nini wanawake wanatumia nguvu kubwa kumkosanisha mtu na ndugu zake, wakati familia ikiwa na amani hata yeye ataishi kwa amani
Wanawake wengi ndo hubugi hapo umekuta watu ndugu wewe Kama mama kuwa hata source ya kuwapatanisha,ushinde ubaya kwa kutenda yaliyo mema, uone ka hao ndugu hawatapata aibu. Shida sisi wanawake huwa tumejiandaa kukomesha Yani ka tuko vitani vile kuanza ugomvi hata na mawifi halafu sisi tuna play part ya kuwa victim Kama malaika. Umewakuta ndugu waache wapambane na yao Kama ndugu, shirikiana panapohusika life liende naamini upendo hushinda yote bana
 
Kabisa...
 
Usije ukaruhusu ndugu zako waingilie uhusiano wenu in any how...Unless uwe unafanyiwa phsyical abuse ila kwa maneno ya chokochoko usipokuwa makini watu wanaweza sema mumeo mbaya au hafai wakakuvurugia nyumba.
Mimi siwezi kuruhusu yoyote kuingilia mahusiano yangu au hata ya ndugu yangu kuwapangia waishije hyo siwezi kabisa, hata Kama ni physical abuse sihitaji ushauri wa mtu zaidi ya kusepa zangu na maisha yangu, kitu Cha muhimu Ni kuwa na hizi socialization za kufamilia, different event's na Mambo ya msingi kuinuana, so kwa other part naweka boundaries, kila mtu na Mambo yake but some issues zinahitaji kukutana na kushauriana hichi na kile
 
Kabisa...
Imagine Kuna wanawake hushindana na mawifi, Mara mama mkwe aliyekuzalia mume unafikri hapo unaweza kushinda hyo Vita, kwa case ka hyo ni kuishi nao kiakili Sana kuepusha unnecessary chokochoko aisee. Life is too short play ur part bas.
 
Tatizo watu bongo zao zilishakaririshwa kuwa mawifi huwa na gubu hata wanapoolewa wanakuwa wamejipanga kupambana
 
Hahahah mke anatakiwa awe na ushirikiano na ndugu wa mume na wa kwake at 50% kila upande. Ila unakuta mke 80% ya upendo ni kwa ndugu zake 20% kwa ndugu za mume wakati yeye ndio kaenda kujiunga undugu na family ya mume.

Ni ujinga ujinga tu na kukosa kujitambua.
Yes balance Ni muhimu hao wanaojamishia nguvu kwao na kusahau kujenga mji wao mpya huwa wehu na watu wenye njaa Kali Sana, unawekeza ulipotoka na kusahau mji wako mpya na hii ndio huleta ugomvi Sasa. Mtu una mji wako mpya si uujenge kwa ajili ya wanao, Kuna wengine badala washirikiane na mume anaiba na kupeleka kwao hizo huwa njaa tu na kugeuza ndoa ka mtaji, matokeo huko ndoani magomvi kisa kutaka kitonga tulipotoka tuwasaidie but not to that extent na wazazi wote wapewe boost sawa, sio kupendelea one side
 
Kuna baadhi ya familia wazazi wenyewe huwa wanatengeneza matabaka, watoto toka wapo wadogo lakini kuna yule mmoja utakuta anapendwa sana na mama
Hapo ndo chuki inapoanziaga...
 
Tatizo watu bongo zao zilishakaririshwa kuwa mawifi huwa na gubu hata wanapoolewa wanakuwa wamejipanga kupambana
Sasa unaenda kwenye mji umejiandaa kushindana na mawifi au mamamkwe hata incase ya ugomvi wa kawaida tu wa kiubinadamu basi utakuuza uonekane Ni case kubwa ya uhujumu uchumi, wakati hata ungekuwa kwenu kugombana tu huwa kupo. Halafu saa nyingine ukute hata wewe muolewaji ndio jipu Ila utasingizia mawifi ndio wabaya. Kinachotutesa wengi ni sumu walizolishwa bila kujua kuwa kwenye maisha kutofautiana kupo tu hata ukiwa na mume kipenzi ipo siku mtapishana tu kauli kikubwa kusameheana
 
We acha tu, familia hizi Mungu atusaidie sana. Umkute na kaka ambaye hajielewi itakuwa full kugombana
 
We acha tu, familia hizi Mungu atusaidie sana. Umkute na kaka ambaye hajielewi itakuwa full kugombana
Ni changamoto Sana, heri kupata mtu muelewa asiye side na pande yoyote Wala kuingilia maugomvi ya wanawake kuanzia mamake, mkewe na dada zake
 
Ni changamoto Sana, heri kupata mtu muelewa asiye side na pande yoyote Wala kuingilia maugomvi ya wanawake kuanzia mamake, mkewe na dada zake
Ni kweli, kuna mambo mengine inatakiwa tu kuignore na kuwaachia wanawake
 
Ni kweli, kuna mambo mengine inatakiwa tu kuignore na kuwaachia wanawake
Wanawake sie ni complicated creatures na maugomvi yetu saa nyingine huwa hayana kichwa Wala miguu, Sasa mwanaume uliteka side inakula kwako, dawa ni kupuuzia tu mambo, imagine mwanaume aside na mkewe, hapo mama lazima ataacha laana, na aki side na mama Napo shida kwa mke.
 
Ni kukosa akili tu maugomvi ya nini?
 
Mimi kwa nilivyoona kwa familia yetu mara nyingi hii shida iko kwa watoto wa kiume na si wa kike. Hawa watoto wa kiume kabla hawajaoa huwa wanapendana sana ila wakishaoa tu basi balaa ndio linaanza. Yaani unakuta hata mkipanga vikao vya familia wengine hawaji matokeo yake sisi watoto wa kike ndio inabidi tuongoze familia au kuishikilia familia iwe moja ila makaka looh!
Katika hili, kwa nini wadada wanakuwa hawapatani na mawifi zao...hii haiwezi kuwa ni sababu za kutengeneza fitina itakayosababisha hao ndugu kutokuelewana?
 
Tatizo ni Pesa tu mkuu! Bila hii mambo mbona life lingekuwa yechu tu aisee!!!

Mwenye hela anataka asujudiwe, ukiwaza tumechezea tope wote, tumekula sinia moja, tumeshea nguo zetu pamoja. Leo hii we utaniambia nini eroo?!

Ubaya zaidi ni endapo kidume ana familia yake tayari inamaana utaratibu wa maisha unabadilika automatically. Lazma mke apandikize sheria zake hapo mbaya sasa awe mbinafsi kila ndugu anaekuja kwa mumewe ataona analeta njaa zake anataka kuwamalizia hela zao!😂😂😂😂😆

Huu mpasuko unachangiwa na influence ya wake, malezi mabovi halikadhakika hali ya uchumi endapo ndugu wengine watakuwa tegemezi basi hapo lazima shida iwe kubwa zaidi endapo kaka akishindwa ku neutralize na ndugu zake bila mke kujua. Hapo ndugu walio chini wataunda alliance yao wakitusua inakuwa ni kumkomesha aliyewatangulia tu.
Sasa mkuu,nini kifanyike ili hili tatizo lisiwepo?
 
Back
Top Bottom