Watoto waliozaliwa tumbo moja kuwa na uadui

Watoto waliozaliwa tumbo moja kuwa na uadui

ukitaka kuonekana mbaya ktk ndg wa tumbo moja we kuwa na akili na pesa ya kula ipo... utaonekana mbaya ktk kila jambo.
 
Nashukuru kaka zetu mnakiri kuwa mnaendeshwa na wake zenu
nikweli dada lkn wengine wanatuendesha vizur mfano mimi wkt niko mtt napendwa wakaka wakubwa tena watu wazima wanichukia nakunipiga bila sababu nami nikawa nawachukia unajua iikuwa mke ndiye aliyenifanya niwapende nao naamin sasa wanipenda
 
Ila shida nyingine huwa ni roho mbaya za kiasili anazo zaliwa nazo mtu hata umulee vipi yeye Yuko hivo hivo tu it's like generational curses, Kuna baadhi ya Koo au ndugu huwa hawapatani na hawana upendo kabisa kuanzia mababu, so I think inakuwa ka asili flani hivi
dada unaakili sana
 
Inategemea makuzi na malezi yao yalivyo. Katika familia yetu tunauwezo wa kuongea kwa cm hata 2hrs straight.
 
Kuliepuka hilo inabidi kujiunga na vikundi vya maombi vinavyoeleweka kupambana na hizo nguvu. Aliyejiunga na ulimwengu wa roho ana nguvu sana na anaweza akawamaliza wote.
 
Nimesema hivyo kwasababu mtoa mada ameongea kana kwamba ni familia zote zipo hivyo ameongea in general wakati si kweli kwamba familia zote watoto hawapendani
Ninyi kwenu mnapendana lakini usiseme sio kweli, unazifahamu familia zote?
 
Back
Top Bottom