Watoto wamefanana na Mimi najuta kuwakataa

Watoto wamefanana na Mimi najuta kuwakataa

Wengine hatuna hata mtoto we unamkataa ngoja aje kuwa star uanze kulia kweny media
 
Kabla hatujaanza kukupa ushaur, kwann umezini kabla ya ndoa?

Ndio tukupe ushaur
 
Yaani bora ukipewa taarifa uwe 50/50 kuliko kukataa mimba siyo yako

Hicho kitu hakiweziw kumuisha huyo mwanamke..

Kwa sasa tafuta mwanamke mwingine piga mimba utulivu.. mwache mama wa watu na maisha yake
 
Habari ndugu zangu

Mimi ni kijana mdogo miaka 26 nilimpa ujauzito mwanamke na nilimkana sijawahi kutembea nae na ilipelekea mpaka akaenda kumpa mtu mwingine kwamba ndio baba wa lile tumbo.

Sasa roho inanisuta watoto walikua wanafanana na Mimi Cha ajabu yule baba feki amekubali kulea na anajua ni wanae.

Sasa roho inanisuta watoto wanafanana na Mimi Bora wasinge fanana aisee mpaka njia nimeacha kupita.

Mnanishauri nifanyaje? Aisee nimebadili njia.
Bro mie nimepata shida kama hiyo
 
Miaka 26 mdogo? Tena mwanaume unajiita mdogo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Habari ndugu zangu

Mimi ni kijana mdogo miaka 26 nilimpa ujauzito mwanamke na nilimkana sijawahi kutembea nae na ilipelekea mpaka akaenda kumpa mtu mwingine kwamba ndio baba wa lile tumbo.

Sasa roho inanisuta watoto walikua wanafanana na Mimi cha ajabu yule baba feki amekubali kulea na anajua ni wanae.

Sasa roho inanisuta watoto wanafanana na Mimi Bora wasinge fanana aisee mpaka njia nimeacha kupita.

Mnanishauri nifanyaje? Aisee nimebadili njia.
Pole sana
 
Back
Top Bottom