Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
π€£π€£π€£ Alafu utakuta na yeye anatoa laana kea mtotoWengine hatuna hata mtoto we unamkataa ngoja aje kuwa star uanze kulia kweny media
Bro mie nimepata shida kama hiyoHabari ndugu zangu
Mimi ni kijana mdogo miaka 26 nilimpa ujauzito mwanamke na nilimkana sijawahi kutembea nae na ilipelekea mpaka akaenda kumpa mtu mwingine kwamba ndio baba wa lile tumbo.
Sasa roho inanisuta watoto walikua wanafanana na Mimi Cha ajabu yule baba feki amekubali kulea na anajua ni wanae.
Sasa roho inanisuta watoto wanafanana na Mimi Bora wasinge fanana aisee mpaka njia nimeacha kupita.
Mnanishauri nifanyaje? Aisee nimebadili njia.
π π ππ€£π€£π€£ Alafu utakuta na yeye anatoa laana kea mtoto
π€£π€£π€£π€£ Huyo ni mvulana sio mwanaumeMiaka 26 mdogo? Tena mwanaume unajiita mdogo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzee nasibu ana laana ipimiaka 26 unasema wee mdogo!!
ili tukuonee imani tukupe ushauri wa kukufurahisha wewe..
nakwambia kalee watoto na huyo mke umuoe.
au upate laana km mzee NASIBU ABDUL
Pole sanaHabari ndugu zangu
Mimi ni kijana mdogo miaka 26 nilimpa ujauzito mwanamke na nilimkana sijawahi kutembea nae na ilipelekea mpaka akaenda kumpa mtu mwingine kwamba ndio baba wa lile tumbo.
Sasa roho inanisuta watoto walikua wanafanana na Mimi cha ajabu yule baba feki amekubali kulea na anajua ni wanae.
Sasa roho inanisuta watoto wanafanana na Mimi Bora wasinge fanana aisee mpaka njia nimeacha kupita.
Mnanishauri nifanyaje? Aisee nimebadili njia.
πππ Tajiri feki huyoMfufua Nyuzi kuna jamaa anatutukana alafu kumbe ni member toka 2022. Tunaomba ufanye kazi yako.