Watoto wanacheza vizuri, mkiingiza siasa mtaharibu

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Tatizo letu Watanzania ni kuingiza siasa kwenye profession kila idara mnaingiza suasa jeshini, vyuoni nk, hata leo mmepeleka wanasiasa wanini.

Waacheni watoto wacheze mpira, hatutaki kusikia mambo ya mama wala nini.

serikali sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu Hassan imewekeza vya kutosha kwenye mpira wa miguu, ili hatimae waTanzania wamfurahie soka la kuvutia kama unavyoinjoy sasa gentleman.

endelea kuinjoy uchambuzi na baada ya mapumziko umalizie kuinjoy soka safi la ushindi kwa Serengeti Boys πŸ‘Š
 
Wawe na vipaji vyao,wewe useme ni CCM hata mpango hawana! Viwanja vya CCM hamna hata kinachofaa kucheza! CCM zii!
 
Tatizo letu Watanzania ni kuingiza siasa kwenye profession kila idara mnaingiza suasa jeshini, vyuoni nk, hata leo mmepeleka wanasiasa wanini.

Waacheni watoto wacheze mpira, hatutaki kusikia mambo ya mama wala nini.
Nje ya mada

Mkuu ile agenda yako wewe na seneta Ted unayoipush Sana humu jukwaani kuhusu kuifungia Tanzania mmefikia wapi?
 
Ingekua leo jumapil ningesema manesi wapo off
 
Andromeda Galaxy huyu hapa mwingine
 
Baada ya kuona matokeo ndo mnakuja na umbea wenu hapa?

Unadhani tundu lisu ndo aliwakusanya akawaweka kambini? Tecdema ndo imetoa hela za kuwawezesha?
 
Tatizo letu Watanzania ni kuingiza siasa kwenye profession kila idara mnaingiza suasa jeshini, vyuoni nk, hata leo mmepeleka wanasiasa wanini.

Waacheni watoto wacheze mpira, hatutaki kusikia mambo ya mama wala nini.
Mfano kama mimi natamani hawa vijana wafungwe si kwa sababu sina uzalendo la hasha bali ni siasa zitavyo fungamanishwa na huo ushindi wao wafungwe tuu maana kuna mmoja hapa hatuta kunywa hata maji.
 
Na bado hata pumzi watanzania wanayovuta ni kwa msaada wa daktar na ccm 🀣 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…