Uwekezaji wa mama my foot.nadhani matunda ya uwekezaji wa Dr Samia Suluhu Hassan kwenye michezo,unaliunganisha taifa leo muda huu, right gentleman?🐒
Tupe mrejeshoBaada ya kuona matokeo ndo mnakuja na umbea wenu hapa?
Unadhani tundu lisu ndo aliwakusanya akawaweka kambini? Tecdema ndo imetoa hela za kuwawezesha?
umerejea kwenye chuki tena baada ya kuburudika na soka safi la Serengeti Boys gentleman?🤣Uwekezaji wa mama my foot.
umeanza tena visingizio useless, right?🤣Makonda ni gundu kaenda kufanya nini.
Kiko wapi,sa100 hoe Kwa kufungwa na Senegalserikali sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu Hassan imewekeza vya kutosha kwenye mpira wa miguu, ili hatimae waTanzania wamfurahie soka la kuvutia kama unavyoinjoy sasa gentleman.
endelea kuinjoy uchambuzi na baada ya mapumziko umalizie kuinjoy soka safi la ushindi kwa Serengeti Boys 👊
CCM wameuziana viwanja vyote vya wazi(nakiri kuwa mnufaika wa hili kupitia kwa Mzee wangu) ambavyo watoto walikuwa wanavitumia kucheza chandimu na kukuza vipaji vyao kivyao vyao.serikali sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu Hassan imewekeza vya kutosha kwenye mpira wa miguu, ili hatimae waTanzania wamfurahie soka la kuvutia kama unavyoinjoy sasa gentleman.
endelea kuinjoy uchambuzi na baada ya mapumziko umalizie kuinjoy soka safi la ushindi kwa Serengeti Boys 👊
UrusiNje ya mada
Mkuu ile agenda yako wewe na seneta Ted unayoipush Sana humu jukwaani kuhusu kuifungia Tanzania mmefikia wapi?
Kwenye chumba cha kubadilishia nguo walijaa wanasiasa badala ya wataalamu wa mpira unategemea nini.Kilichotokea kipindi cha pili sijakielewa. Sijui waliambiwa nini Halftime!!! Walishuka morali.
Ndiyo maana walitoka mapema vyumbani! Nini? Nikipata picha kudhibitisha ndipo nitaamini kuwa hili lilifanyika.Kwenye chumba cha kubadilishia nguo walijaa wanasiasa badala ya wataalamu wa mpira unategemea nini.
Mmepeleka janaba uwanjani.Aise vijana wanapiga mwingi, dah 🔥🔥🔥
Kwa kuwa jina la Samia limelaaniwa, likihusishwa tu na jambo lolote basi halifanikiwi. I'm so sad for the young boys, they could have won it if they were not associated with the cursed one.Tatizo letu Watanzania ni kuingiza siasa kwenye profession kila idara mnaingiza suasa jeshini, vyuoni nk, hata leo mmepeleka wanasiasa wanini.
Waacheni watoto wacheze mpira, hatutaki kusikia mambo ya mama wala nini.
Yule matako makubwa akishaingia kwenye jambo lazima liharibikeTatizo letu Watanzania ni kuingiza siasa kwenye profession kila idara mnaingiza suasa jeshini, vyuoni nk, hata leo mmepeleka wanasiasa wanini.
Waacheni watoto wacheze mpira, hatutaki kusikia mambo ya mama wala nini.
Na wakaharibu kweli I 🤣🤣🤣🤣Tatizo letu Watanzania ni kuingiza siasa kwenye profession kila idara mnaingiza suasa jeshini, vyuoni nk, hata leo mmepeleka wanasiasa wanini.
Waacheni watoto wacheze mpira, hatutaki kusikia mambo ya mama wala nini.
View attachment 3600365