Watoto wanaojihusisha na mambo ya michezo michafu ni nani anadili nao?

Watoto wanaojihusisha na mambo ya michezo michafu ni nani anadili nao?

Hata hivyo hii kesi ulidandia kwa mbele, maana haikuhusu kabisa.. ✍️✍️✍
Siku yakikukuta ndio utajua kwamba hata mtoto ambaye hukumzaa ni wako sambamba na hilo hata wewe kama unahatia yakuchekiwa marinda utapelekwa kwa daktari,mimi sikuletewa kesi labda nikuweke sawa,
 
Siku yakikukuta ndio utajua kwamba hata mtoto ambaye hukumzaa ni wako sambamba na hilo hata wewe kama unahatia yakuchekiwa marinda utapelekwa kwa daktari,mimi sikuletewa kesi labda nikuweke sawa,
Umejibu kwa mihemko sana... Hiyo ni case ya ulawiti, huna mamlaka yeyote ya kuchunguza hilo suala..

Ulichotakiwa ni kuwapa go ahead waende police, na siyo kuwaambia waludi ofisini kwako...

OK.. Ulitaka waludi kwako.. Ili ufanye nini??
 
Wenda shida inaanzia hapa
Mtoa mada muongo na unalako unataka kuwaonyesha watu hv kwa decal ethics una identify mtu kwa jina publicity halafu kama ww unataka kukomesha mbona hukuchukua hatua even za ki medical ku ensure huyo specimen salum aletwe ofisini wacha kujipa umuhimu ambao hujafikia
 
Umejibu kwa mihemko sana... Hiyo ni case ya ulawiti, huna mamlaka yeyote ya kuchunguza hilo suala..

Ulichotakiwa ni kuwapa go ahead waende police, na siyo kuwaambia waludi ofisini kwako...

OK.. Ulitaka waludi kwako.. Ili ufanye nini??
Nilishamwandikia huyu wala asiwaumize kichwa hamna maabara wala daktari ni boda amesikia story akijipachika uhusika hv dastardly gar kama haujui ipi ni kesi yako ma ipi uiforwad
 
Juzi usiku nilikuwa kijiweni kwangu nikitoa huduma kama kawaida, mara akaingia dada mmoja ambaye namfahamu akiwa ameambatana na wadada wengine ambao nao sio wageni pamoja na watoto wakiume wawili.

Mtoto mmoja namfahamu ni wahuyo dada nikajua wamekuja kwa ajili ya matibabu zaidi maana Siku 2 nyuma mwanae alikuwa anaumwa nikamtibu, lakini mama mtu akaniambia shida ni nyingine kwamba mwanawe na mtoto mwingine wametuhumiwa kumuingilia mtoto wa jirani hivyo wanataka niwachunguze.

Moja ya watoto wanaotuhumiwa anaitwa Salum na anaishi na mama yake Mzazi ktk chumba kimoja,mtoto huyu aliwachukua hawa wengine wawili akawapeleka nyumbani kwao akakavua Nguo kale kadogo kana miaka around 7, huyu mwingine akiwa anamshika ili stering asipate tabu na nilipo mdadisi wakasema alikuwa anatumia mafuta nikajiuliza mtoto wa miaka 12 anajua kama mafuta yanatumika, nikajisemea Subannalah.

Mama mlezi wa mtoto aliyekuwa anafanyiwa tukio aligundua baada yakumtafuta mwanae kwa muda Mrefu Bila kumpata baadae akagundua kwamba wamejifungia ndani kwa jirani,walipo toka alimtndika nakusema (Salum )na (Mogan ) walikuwa wanafanya hivi.

Huyo Salum hasomi na yupo kama chokolaa, nikawaambia wamlete maana anaonekana ni mtaalamu hawajamleta hadi leo.

Huku kitaa kugumu sana kwa hawa watoto.
Tatizo uko uswazi vitoto vingi vinajilea vyenyewe,Mama zao wenyewe wameshindikana,Mama analeta wanaume chumba hicho hicho kimoja anacho lala yeye na mwanawe, usiku mzima mtoto anasikia Mama anavyofanyiwa huku kamejifanya kamelala kumbe kanakula chabo! Kesho nako kanawakamata wenzie na kuwafanya mchezo anaofanyiwa Mama yake usiku! Maadili tumefeli sana huko uswazi!!
 
Mtahangaika sana kutafuta tiba ya tatizo kwa watoto shida ipo kwa wazazi ña walezi na ilianza miaka mingi nyuma na inaendelea. Wazazi na walezi wengi ndani au nje ya ndoa ni mwendo wa kufilana.Utakuta mtu ndani ya mahusiano anajifanya hapendi kufilana lakini mtaani kuna mtu wanafanya hiyo tabia.Nazungumzia wapenzi wa jinsia mbili tofauti wawe ndani au nje ya ndoa hiyo ndo tabia.Hili ni tatizo na chanzo ni wazazi na walezi na hii ni LAANA.Mungu yupo na hajawahi kubadilika tabia na kwenye hili ameachilia laana.Siku wazazi na walezi wakiomba rekhema kwa Mungiu na kubadilika ndo utakuwa ukomo wa pigo hilo katika jamii.
 
Tatizo uko uswazi vitoto vingi vinajilea vyenyewe,Mama zao wenyewe wameshindikana,Mama analeta wanaume chumba hicho hicho kimoja anacho lala yeye na mwanawe, usiku mzima mtoto anasikia Mama anavyofanyiwa huku kamejifanya kamelala kumbe kanakula chabo! Kesho nako kanawakamata wenzie na kuwafanya mchezo anaofanyiwa Mama yake usiku! Maadili tumefeli sana huko uswazi!!
Watoto wakilala na wazazi ndani ya chumba kimoja huwa hawalali abadani hata ufanyeje ataenda kusinzia mchana huko lakini ashuhudie mechi
 
Nilishamwandikia huyu wala asiwaumize kichwa hamna maabara wala daktari ni boda amesikia story akijipachika uhusika hv dastardly gar kama haujui ipi ni kesi yako ma ipi uiforwad
Kabisa, maana analeta maada ambazo hazieleweki kabisa.. ✍️✍️✍️
 
Back
Top Bottom