Watoto wanaojihusisha na mambo ya michezo michafu ni nani anadili nao?

Hata hivyo hii kesi ulidandia kwa mbele, maana haikuhusu kabisa.. ✍️✍️✍
Siku yakikukuta ndio utajua kwamba hata mtoto ambaye hukumzaa ni wako sambamba na hilo hata wewe kama unahatia yakuchekiwa marinda utapelekwa kwa daktari,mimi sikuletewa kesi labda nikuweke sawa,
 
Siku yakikukuta ndio utajua kwamba hata mtoto ambaye hukumzaa ni wako sambamba na hilo hata wewe kama unahatia yakuchekiwa marinda utapelekwa kwa daktari,mimi sikuletewa kesi labda nikuweke sawa,
Umejibu kwa mihemko sana... Hiyo ni case ya ulawiti, huna mamlaka yeyote ya kuchunguza hilo suala..

Ulichotakiwa ni kuwapa go ahead waende police, na siyo kuwaambia waludi ofisini kwako...

OK.. Ulitaka waludi kwako.. Ili ufanye nini??
 
Wenda shida inaanzia hapa
Mtoa mada muongo na unalako unataka kuwaonyesha watu hv kwa decal ethics una identify mtu kwa jina publicity halafu kama ww unataka kukomesha mbona hukuchukua hatua even za ki medical ku ensure huyo specimen salum aletwe ofisini wacha kujipa umuhimu ambao hujafikia
 
Umejibu kwa mihemko sana... Hiyo ni case ya ulawiti, huna mamlaka yeyote ya kuchunguza hilo suala..

Ulichotakiwa ni kuwapa go ahead waende police, na siyo kuwaambia waludi ofisini kwako...

OK.. Ulitaka waludi kwako.. Ili ufanye nini??
Nilishamwandikia huyu wala asiwaumize kichwa hamna maabara wala daktari ni boda amesikia story akijipachika uhusika hv dastardly gar kama haujui ipi ni kesi yako ma ipi uiforwad
 
Tatizo uko uswazi vitoto vingi vinajilea vyenyewe,Mama zao wenyewe wameshindikana,Mama analeta wanaume chumba hicho hicho kimoja anacho lala yeye na mwanawe, usiku mzima mtoto anasikia Mama anavyofanyiwa huku kamejifanya kamelala kumbe kanakula chabo! Kesho nako kanawakamata wenzie na kuwafanya mchezo anaofanyiwa Mama yake usiku! Maadili tumefeli sana huko uswazi!!
 
Mtahangaika sana kutafuta tiba ya tatizo kwa watoto shida ipo kwa wazazi ña walezi na ilianza miaka mingi nyuma na inaendelea. Wazazi na walezi wengi ndani au nje ya ndoa ni mwendo wa kufilana.Utakuta mtu ndani ya mahusiano anajifanya hapendi kufilana lakini mtaani kuna mtu wanafanya hiyo tabia.Nazungumzia wapenzi wa jinsia mbili tofauti wawe ndani au nje ya ndoa hiyo ndo tabia.Hili ni tatizo na chanzo ni wazazi na walezi na hii ni LAANA.Mungu yupo na hajawahi kubadilika tabia na kwenye hili ameachilia laana.Siku wazazi na walezi wakiomba rekhema kwa Mungiu na kubadilika ndo utakuwa ukomo wa pigo hilo katika jamii.
 
Watoto wakilala na wazazi ndani ya chumba kimoja huwa hawalali abadani hata ufanyeje ataenda kusinzia mchana huko lakini ashuhudie mechi
 
Wamejuaje kutumia mafuta? Hizi nyimbo za kina mbosso, kina jaivah je?

Wavuta bangi, maboda boda wanavyotumia lugha za matusi barabarani je?

Ni ngumu sana kumzuia mtoto asiharibikiwe siku hizi, hasa kama unaishi mitaa ya uswazi uswazi.
Hii ndio sababu ilinifanya nikajenge jumba langu nje ya mji.
 
Nilishamwandikia huyu wala asiwaumize kichwa hamna maabara wala daktari ni boda amesikia story akijipachika uhusika hv dastardly gar kama haujui ipi ni kesi yako ma ipi uiforwad
Kabisa, maana analeta maada ambazo hazieleweki kabisa.. ✍️✍️✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…