Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Sio kweli..ww unamix mambo .kuna blood group ww umechek blood group..hiyo rh factor huwa kipengele kias...nimechek mkuu wote tuko vizuri na tuna group moja la damu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli..ww unamix mambo .kuna blood group ww umechek blood group..hiyo rh factor huwa kipengele kias...nimechek mkuu wote tuko vizuri na tuna group moja la damu
Nakazia hili....Kacheck Rhesus factor, inachangia sana hali hiyo...
Mmmmh weeehKwani lazima mzae,ulimwengu ushakuwa mgumu huu.
Yani hua nakua na furaha kupitiliza na mara nyingi sipati nafasi ya kukaa nao pamoja napata nafasi kidogo sana..Nikuulize swali Naomba uwe muwazi
Unapoambiwa mwanamke ana mimba huwa unakuwaje
Furaha kupita kiasi au unakuwa na hisia gani?
Je huwa unakuwa karibu zaidi na mimba hiyo kwa mfano kumpetipeti sana mwenzio na kuwa unaangalia tu tumbo kutwa
Kama ni NDIO katika hayo Basi utakuwa na jicho la husda
Epuka kukaa nao pindi wanapokuambia wana mimba
asante kwa ushauri mkuuNakazia hili....
Arudi akacheki tena kama ana Rh-Positive au Rh-Negative.....
Reason behind huwa ni,,,,,Kama Rh factor yake ni -Ve,,,basi wakati wa Ujauzito,,,Mwili wa mwanamke hukitambua kile kiumbe kama Threat na kukishambulia,,,,na hili ni kutokana na Rh-Ve ni wachache sana wenye nazo hapa Duniani...
Hili hupelekea mtoto kuzaliwa na matatizo au Mimba kuharibika mapema.....
Hili lina tibika,,,,nenda Hospital kwa Ushauri zaidi...
Yani hua nakua na furaha kupitiliza na mara nyingi sipati nafasi ya kukaa nao pamoja napata nafasi kidogo sana..
Am good honey.Ulikuwa adimu humu ndani....hope you're doing good.....takutafuta siku moja
Umepotea mami?Am good honey.
Kiasi inaweza kuwa namna hiyo japo si kwa watu wote itafananaKama kuku kile kunundu kinachoota juu ya maishio ya nyuma ya mgongo?
Kila la kheri.Mwakani Mungu akijaalia nitaingia kitanzini mkuu
Imani za kigeni zimewaathiri, Ilo ni agano limeblock uzao wako, nenda kwenye matambiko ufungue, wafia dini wengi hawataamini ilo.nenda mediko masta..
fanya vipimo vzr wata RULE OUT shida iko wapi.
usiingize imani za kishirikina kbs.
lbd km laana ya wazazi walikupatia ndo inaeza kukudhuru.
hakuna tatizo lisilo na tiba lbd kifo ndo hakina tiba.