Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu nitalifanyia kaziCheck haya
1. Rhesus factor
2. Sicle cell
3. Syphils
4. Demonic
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
nimeshakamilisha taratibu za awali mkuu bado kuna ubwabwa na mingineyoYawezekana wewe sio mleaji Mungu nae anaepusha viumbe hivyo visije kupata tabu duniani,kingine watoto ni Rizki kama Rizki nyingine kama Muumba kakupangia usiipate basi hata ufanyaje hautapata muhimu shikamana na imani yako Oa muombe Mungu akupe hitajio lako la Watoto acha uzinifu.
Asante mkuu kwa ushauri wa kitaalamuPole kwa unayopitia. Ni vyema kufika hospitali na kufanya ufatiliaji kwa mambo haya:
1: Grupu la magonjwa yanaitwa TORCH.
TORCH ni kifupi cha magonjwa ya: Toxoplasma gondii, Others/wadudu wengine wahusikao( Syphilis, Pavovirus, Listeria na H. Zoster), Rubella, Cytomegalovirus (CMV), na Herpes simplex virus (HSV).
Magonjwa haya huambukizwa kwa mtoto wakati wa ujauzito kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto na wakati mwingine baada ya kuzaliwa. Kama una mojawapo ya haya, unaweza kuwa chanzo cha maambukizi kwa wenzio.
Madhira ya magonjwa haya ni:
1: Ujauzito/mtoto kutokukua vizuri
2: Mimba kuharibika
3: Kuzaa watoto waliofariki
4: Kuzaa watoto ambao hufariki baadaye.
2: Rhesus factor/incompatibility
Hii pia inaweza kuhusika, kwani ina madhira kama TORCH. Litabaki hapo kwa sababu hatujui aina ya magrupu ya damu na rhesus factor zao zote. Ni vyema pia ukilifanyia kazi kabla ya maamuzi yako ya mwisho kwenye kupata mwenza wa maisha.
3: Coincidence:
Suala la mapacha, linaweza likawa ni sababu ya uchanga/prematurity na huduma waliyopata baada ya kuzaliwa kulingana na changamoto zinazowakuta.
View attachment 2270273View attachment 2270274
Asante mkuu kwa ushauri wa kitaalamu na kiimani nitaufanyia kazi naamini kupitia michango yenu mwakani nitaitwa babaPole na poleni nyote wenye kadhia kama hii, kwa namna tofauti.
CHUNGUZA ILI KUJUA CHANZO.
Chukua hatua mbili.
1. Kisayansi. Nenda hospitali kamuone daktari.
2. Kiiman.
Uchunguze ukoo wenu kwa kuwaangalia ndugu upande wa baba na upande wa mama, ikibidi washirikishe maana wazazi hua ni ngumu kuwaeleza watoto wao mambo kama haya mpaka yatokee. Chunguza unaweza kuta ni tatizo la ukoo.
Je, umewahi kumkatili binti wa watu kihisia? Chunguza.
Je, umewahi changia binti kutoa mimba yako? Chunguza.
Hutakosa pakutokea. Binafsi hapo kwenye imani wekeza nguvu zaidi.
Kila kheri MUNGU akusaidie.
Asante mkuu kwa ushauri.Check haya
1. Rhesus factor
2. Sicle cell
3. Syphils
4. Demonic
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Mwakani Mungu akijaalia nitaingia kitanzini mkuuAisee!
Pole sana mkuu..Nakuombea kwa Mungu akuepushie kadhia hiyo..
Ila jitahidi sana kuomba na z
Ikiwezekana uoe ili uzae kwa utaratibu maalum..hata ukimlilia Mungu atasikia na atajibu maana watoto hawatokani na matokeo ya uzinzi.
Mungu ni mwaminifu.
Kama kuku kile kunundu kinachoota juu ya maishio ya nyuma ya mgongo?Kama watoto wanaozaliwa wanakua na homa za mara kwa mara na joto kali,kuna tatizo linataka kufanana na bawasiri ila sio bawasiri na sijui linaitwaje kitaalam ni kinyama sehemu ya haja kubwa mwanaume ukiwa na hilo tatizo ndio hutokea hayo matokea watoto wako kufariki wakiwa wachanga au mimba kuharibika halipo sana sababu nilipata maelezo kwa mzee fulani muda kidogo
tayari nimeshawaeleza wazee na wife ameshapewa matibabu bado mimiPole kama kuna wazee kwenu waeleze hili watakusaidia kuna dawa zake inategemea na koo na kabila hivyo waone wazee wako washirikishe hili tatizo sio maarufu sana ila lina athari kubwa na bbn linatibika kumbuka sio bawasiri ni tatizo tofauti ila hufanana na bawasiri
Ni kweli Mkuu.👏Sahii kabisa,
Kuna Vitu haviko sawa kwenye past yake