Watoto wangu wote hufariki baada ya kuzaliwa au mimba kuharibika

Acha tu mkuu,unaweza tamani utengwe kwa muda uwe peke yako dunia nzima ukitafakari matatizo yanayokuelemea[emoji1]
Jipe moyo penye wengi pana mengi,, naamini wadau watakupa ushauri utakaokufaa
 
Watoto + mimba 9 ni wengi sana…… Mungu akutie nguvu
 
Mkuu acha umalaya hu ni mpango wa Mungu kupunguza single parenting maana usingeoa wote hao walobeba mimba zako hata alozaa mtoto akafikiaha mwaka ulipewa tu taarifa hukuwa ukiishi naye.
 
Jaribu upande huu kama una imani au ule wa pili.

Sidhani kama kuna ushauri zaidi ya huo.
 
Kaka pole kwa unayoyapitiaa, huko nyuma hukuwahi kuuumiza moyo wa bidada yeyote aliyekupenda sana ukaja kumuacha bila sababu??

#Tumaini la mwisho ni kwa Mungu tu.
 
Kwa upande wangu m naona uende kwa nabii anitwa Suguye au kwa Mwamposa haya mambo kwao n madogo sana mwnyezi Mungu anawatumia ipasavyo
 
Wewe unalogwa acha kuzubaa na hapo lazima kati ya baba au mama yako ndo wanaofanya hivyo maana kama ni mtu baki haiwezi kuwa mfululizo hivyo najua kuna watu watabisha ila ipo mifano mingi ya watu waliokumbwa na shida kama hizi ña walikuja gundua ni wazazi chukuwa hatua mapema kabla siku mbaya hazijaja
 
Hilo ni likango, linamaliza watoto wote, yaan na ikikomaa haitibiki mkeo anakufa na mimba. Au wakati wa kujifungua.

Aseeeeh poleeee sanaaa.
 
Hutakiwi kufanya Uzinzi Unalazimisha,Usishindane ns Muumba wako...Oa kwanza!!
 
Watoto + mimba 9 ni wengi sana…… Mungu akutie nguvu
We acha tu mkuu,kwa mtu mwingine anaweza akadhani ni stori tu ya kusadikika ila mimi yamenikuta[emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…