Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Jipe moyo penye wengi pana mengi,, naamini wadau watakupa ushauri utakaokufaaAcha tu mkuu,unaweza tamani utengwe kwa muda uwe peke yako dunia nzima ukitafakari matatizo yanayokuelemea[emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jipe moyo penye wengi pana mengi,, naamini wadau watakupa ushauri utakaokufaaAcha tu mkuu,unaweza tamani utengwe kwa muda uwe peke yako dunia nzima ukitafakari matatizo yanayokuelemea[emoji1]
Nitajitahidi mkuu,mwakani nitaleta mrejesho Mungu akijaalia
Scenario kama hiyo ilijitokeza huku[emoji1] mkuu wewe unaamini ni jini tu hakuna kingine
Sasa atatubu Nini?Nenda kwenye nyumba za ibada ukatubu huenda kuna matukio uliyafanya huko nyumba hivyo umejifunga, au kwenye ukoo wenu kuna maagano yamewekwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hana mke anatia mimba anaacha nahisi tatizo linaanzia hapa aache uhuni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inaonekana ni muhuni muhuni fulan [emoji3]
Na ikawe hivyo mkuu.Asante mkuu kwa ushauri wa kitaalamu na kiimani nitaufanyia kazi naamini kupitia michango yenu mwakani nitaitwa baba
Happy to hear that 😊....Am good honey.
Hilo ni likango, linamaliza watoto wote, yaan na ikikomaa haitibiki mkeo anakufa na mimba. Au wakati wa kujifungua.Asante sana mkuu cocastic nimeanza kulifanyia kazi hata wife naye ana kinyama ila yeye hua kinauma anapoenda haja kubwa na tulishapoteza mtoto pamoja ila kwa sasa amepatiwa matibabu ya kiasili kwa maelezo yake kile kinyama kimeondoka baada ya kufanyiwa tiba na mtaalamu sasa imebaki mimi kwenda kuwekwa sawa ili mwakani tuje tutoe ushuhuda humu.[emoji1]
Japo mm kuna mzee mmoja mtaalamu aliwahi niangalia akasema kile kinyama ni kwaajili ya kulea lakini kuna kingine hua kwaajili ya kumaliza watoto sa sijui alinipa moyo tu.All in all nashukuru sana kwa ushauri wako hii ndio faida ya j.f [emoji120]
Sasa akiogopa kukatwa atapona vipi? Hana namna aende kwa mtaalamu akatibiwe. Ili awe na familia.Anaogopa kukatwa[emoji23]