Watoto wetu mmewapa kesi za Uhaini wakati wa kwenu wanatembelea kila aina ya Gari ya kifahari

Watoto wetu mmewapa kesi za Uhaini wakati wa kwenu wanatembelea kila aina ya Gari ya kifahari

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Watoto wetu waliokua wanapambania kesho yao dhidi ya mfumo kandamizi mmewapa kesi za uhaini wakati wa kwenu wanatembelea kila aina ya gari ya kifahari sawa sisi tunaendelea kuona mwisho wenu utakuaje hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho
 
watoto wetu waliokua wanapambania kesho yao dhidi ya mfumo kandamizi mmewapa kesi za uhaini wakati wa kwenu wanatembelea kila aina ya gari ya kifahari sawa sisi tunaendelea kuona mwisho wenu utakuaje hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho
Wameyataka wenyewe waache wahenyeke nazo mpaka washike adabu.
 
Back
Top Bottom