Watoto wetu wanaosoma English medium wanafanya vizuri kitaaluma, wanapata lishe bora na maisha bora na wanaandaliwa vizuri tofauti na wenzao

Watoto wetu wanaosoma English medium wanafanya vizuri kitaaluma, wanapata lishe bora na maisha bora na wanaandaliwa vizuri tofauti na wenzao

Kama unategemea watoto wako wapatie lishe shuleni badala ya nyumbani basi watoto wako wana hasara.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima

Hata sisi wazazi wao tulifeli siyo kwa kukosa akili bali tulikosa wanayopata Watoto wetu.

Dominika njema
Wanafunzi kufanya vizuri kitaaluma ni jambo Pana sana na linaenda sambamba na mambo yafuatayo;
1. Conducive teaching and learning environment
2. Enough teaching and learning resources
3. Enough strong and effective teaching staff
4. Supportive parents
........ Mengine mengi yapo.....
 
hii school nasikia hiko vinzuri sana
20250105_115959.jpg
 
Kama unategemea watoto wako wapatie lishe shuleni badala ya nyumbani basi watoto wako wana hasara.
Lishe bora wanapata kwa wazazi wao majumbani na pia shuleni wanapata lishe bora kwakuwa wazazi wao wameshalipa Fedha za kutosha
 
Back
Top Bottom