Watoto wetu wanaosoma English medium wanafanya vizuri kitaaluma, wanapata lishe bora na maisha bora na wanaandaliwa vizuri tofauti na wenzao

Watoto wetu wanaosoma English medium wanafanya vizuri kitaaluma, wanapata lishe bora na maisha bora na wanaandaliwa vizuri tofauti na wenzao

Wanafunzi kufanya vizuri kitaaluma ni jambo Pana sana na linaenda sambamba na mambo yafuatayo;
1. Conducive teaching and learning environment
2. Enough teaching and learning resources
3. Enough strong and effective teaching staff
4. Supportive parents
........ Mengine mengi yapo.....
Yote hayo mchawi ni Hela Mkuu
 
Kuna jamaa ambae alikuwa kilaza wa kisawasawa, ila nilishangaa kusikia anafundisha hizi shule za medium. Labda ukilaza uliisha.
 
Back
Top Bottom