Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Subiria mapovu toka team pro KayumbaWadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Hata sisi wazazi wao tulifeli siyo kwa kukosa akili bali tulikosa wanayopata Watoto wetu.
Dominika njema
Sizitaki mbichi hiziNa uko uko ndio wanasoma mitaala ya upinde
Wanafunzi kufanya vizuri kitaaluma ni jambo Pana sana na linaenda sambamba na mambo yafuatayo;Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Hata sisi wazazi wao tulifeli siyo kwa kukosa akili bali tulikosa wanayopata Watoto wetu.
Dominika njema
Lishe bora wanapata kwa wazazi wao majumbani na pia shuleni wanapata lishe bora kwakuwa wazazi wao wameshalipa Fedha za kutoshaKama unategemea watoto wako wapatie lishe shuleni badala ya nyumbani basi watoto wako wana hasara.