watoto wote na waokota makopo waliokuwa wakilala vinarazani hawapo masikini
alaumiwe mange na maria sarungi waliohamasisha tena wapelekwe mahakamni kwa mauaji ya kimbari kwa sababu polisi walikuwa wanalinda raia wema na mali zao kwa kupiga risasi walikuwa hawana namnaNimepita kariakoo Jana usiku wale watoto wote na waokota makopo waliokuwa wakilala vinarazani hawapo masikini
Pia ilala, Ubungo, stand ya Magufuli hakuna mtoto wa mtaani hata mmoja
Samia kaua watoto wote wa mtaani
Pia mliopo mwanza fatilieni Makoroboi, Arusha pia stand kuu na Mbeya Hawa watu yawezekana wameuwawa hawana pa kwenda masikini
Samia katuua kaua watu hata ambao hawana hatia
Hawa wangepata vipi tangazo la kutotoka nje saa 12 wakati maisha yao hawana simu Wala chochote
Samia hizi damu hizi tutaonawisho wake
Mpaka waosha vioo na waokota makopo jaman
Moyo wangu unauma Sana!
Mkuu mtu ajifanyishe kulala barazani na barabarani?Uwezekano mkubwa wameuwawa lakini pia inawezekana wamerudi makwao...sio wote walikuwa homeless wengine walikuwa wanajifanyisha
Qmmmmq we **** ulikuwa unatamba kuwa hakuna wa kuandamana Kiko wapi 🤣Wanaogopa tena kulala kwenye vibaraza na kuonekana mtaani kwasababu yenu nyie wahuni mliyoanzisha maandamano ya kihuni ya kuvunja na kuiba mali za watu, maana wanaweza kukamatwa wakihofiwa wanataka kufanya uhalifu.
Unasuguliwa nyuma na mafweleWanaogopa tena kulala kwenye vibaraza na kuonekana mtaani kwasababu yenu nyie wahuni mliyoanzisha maandamano ya kihuni ya kuvunja na kuiba mali za watu, maana wanaweza kukamatwa wakihofiwa wanataka kufanya uhalifu.
Typical GenocideNimepita kariakoo Jana usiku wale watoto wote na waokota makopo waliokuwa wakilala vinarazani hawapo masikini
Pia ilala, Ubungo, stand ya Magufuli hakuna mtoto wa mtaani hata mmoja
Samia kaua watoto wote wa mtaani
Pia mliopo mwanza fatilieni Makoroboi, Arusha pia stand kuu na Mbeya Hawa watu yawezekana wameuwawa hawana pa kwenda masikini
Samia katuua kaua watu hata ambao hawana hatia
Hawa wangepata vipi tangazo la kutotoka nje saa 12 wakati maisha yao hawana simu Wala chochote
Samia hizi damu hizi tutaonawisho wake
Mpaka waosha vioo na waokota makopo jaman
Moyo wangu unauma Sana!
Wapo wachache waliokataa kwao kwa sababu mbali mbali. Yupo mmoja hapa ni jirani yangu Arusha kuna muda alalala darajani pale karibu na maktaba ya taifa yaani anakuwa chokoraa kabisaaa na kuna siku anakuja nyumbani. Ni mtoto wa jirani yangu kabisa namfahamu.Mkuu mtu ajifanyishe kulala barazani na barabarani?