Wanaogopa tena kulala kwenye vibaraza na kuonekana mtaani kwasababu yenu nyie wahuni mliyoanzisha maandamano ya kihuni ya kuvunja na kuiba mali za watu, maana wanaweza kukamatwa wakihofiwa wanataka kufanya uhalifu.
Iundwe tume ya kizalendo kuchunguza mauaji haya na ufanyike muafaka kwa makundi ya vijana wote wasikilizwe madai yao. Amani ipatikane kwa kuyaleta mezani makundi yote yakiwemo vyama vya siasa vyote na viongozi wao mustakabali wa nchi ujadiliwe aibu hii isijurudie tena