Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Antoine Griezmann ana watoto watatu na wote wamezaliwa April 8 miaka tofauti, hivyo basi leo wanasherehekea siku yao ya kuzaliwa.
Wakwanza ni Mia Griezmann alizaliwa April 8 ya mwaka 2016. Wa pili ni Amaro Griezmann yeye ni wa April 8 ya mwaka 2019. Wa tatu ni Alba Griezmann yeye alizaliwa April 8 ya mwaka 2021.
Hivyo basi leo ni siku ya kuzaliwa kwa watoto watatu wa Griezmann, bahati iliyoje?