Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Duuuh huyo Jamaa ana bahati ya kipekee kiukweli, wengine tumebahatika kuzaliwa mwezi mmoja Familia ya Watu 6 ila tarehe ni tofauti tofauti.Antoine Griezmann ana watoto watatu na wote wamezaliwa April 8 miaka tofauti, hivyo basi leo wanasherehekea siku yao ya kuzaliwa...
Hakuna bahati hapo ni uamuzi tu, hata wewe ukitaka unaweza, mradi tu umaanishe.Antoine Griezmann ana watoto watatu na wote wamezaliwa April 8 miaka tofauti, hivyo basi leo wanasherehekea siku yao ya kuzaliwa...
ni watoto wa masangati hapa temeke hospital.Ndo nani....?
Nashangaa wana wa israel wanakomaa et bahati, hata kwa kudinyana inawezekana sana tu.Ni watoto wa Artificial Insemination, huzaliwa kwa mkasi.So kupanga ni rahisi tu.
Mimi ni mwezi May watoto watatu.Antoine Griezmann ana watoto watatu na wote wamezaliwa April 8 miaka tofauti, hivyo basi leo wanasherehekea siku yao ya kuzaliwa..
Milimo mihanya/Job true true.Duuuh huyo Jamaa ana bahati ya kipekee kiukweli, wengine tumebahatika kuzaliwa mwezi mmoja Familia ya Watu 6 ila tarehe ni tofauti tofauti.
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Kijiwe cha chips kuku na kukesha.ni watoto wa matingasi hapa temeke hospital.
Sikiliza, ni rahisi sana kuprolong au kuwahisha siku ya uzazi ili kuangukia tarehe fulani. Na kama ni watotocwa test tube unalenga tarehe ya kupamdikiza, na kama ni naatural comception, unahesabu siku ya kurutubisjaDuuuh huyo Jamaa ana bahati ya kipekee kiukweli, wengine tumebahatika kuzaliwa mwezi mmoja Familia ya Watu 6 ila tarehe ni tofauti tofauti.
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Na wewe fanya uamuzi kutokea huko Kwa MnyamaniHakuna bahati hapo ni uamuzi tu, hata wewe ukitaka unaweza, mradi tu umaanishe.
Sure.Nashangaa wana wa israel wanakomaa et bahati, hata kwa kudinyana inawezekana sana tu.
unajuaje kama sijafanya uamuzi?Na wewe fanya uamuzi kutokea huko Kwa Mnyamani
Mlijua kabla au ilitokea tusafi sana
binafsi mimi na mke wangu tunasherehekea siku moja ya kuzaliwa na mtoto wetu kaongeza siku mbili tuh kutoka ya kwetu kuzaliwa