Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
- Thread starter
-
- #241
Mandela nje ya Afrika hajulikana sana. Sio rahisi kumkuta dokta, injinia au dereva tex kule ujerumani anamjua mandelaKuna watu naona walipaswa wawepo kwenye hiyo list na hawapo kama
1. Nelson Mandela
2. Osama Bin Laden
3. Mohamed Ali
4. Mike Tyson
5. Vasco Da Gama
6. Barack Obama
....
....
....
Adam na Hawa hadithi yao haina muda maalum, haina mahali maalum panapojulikana duniani, na hakuna mwandishi wa zama zao aliyewahi kuandika akadai aliwaona, hiyo ni hadithi ya kufikirika ya mwanzo wa dunia. Maria yeye Aliishi karne ya kwanza zama za ukoloni wa Kirumi, maeneo yanayojulikana kwenye ramani ya sasa (Nazareti na Yerusalemu), aliishi na watu waliomjua live! Wakati vitabu vya kwanza vya Biblia vikiandikwa miaka 20-30 baada ya Yesu, ndugu wa damu wa Yesu kama Yakobo na Yuda walikuwa bado wako hai Yerusalemu. Kama Maria angekuwa mhusika wa kubuni, maadui wa Ukristo wa zama hizo kama viongozi wa Kiyahudi si wangewashitaki mitume kwa kudai wanatunga hadithi za mwanamke asiyewahi kuwepo?Sijakataa umaarufu wake ninachotaka kusema ni kwamba bado story ya mariam inahitaji clarification kuthibitisha kama kweli alikuwepo. Katika dini zote kuna maelezo yake ambayo yanajipinga kiasi kwamba kimantiki unaona haiwezekani huyo mtu akawepo.
Mfano upande mmoja tunaambiwa alijifungua chini ya mtende upande mwingine tunaambiwa alijifungua kwenye zizi la ng'ombe. Upande mmoja tunaambiwa kuanzia ujauzito mpaka anajifungua alikua bega kwa bega na mumewe yosefu upande mwingine yosefu hatajwi kabisa na tunaambiwa wakati anajifungua alikua pekee ake na misaada mingine kama maji alipewa na Mungu mwenyewe. Haiwezekani akawa mtu mmoja huyo.
Mariam mama wa Yesu ni yupi kati hao wawili? Haiwezekani mama wa Yesu akawa hajulikani kabisa na huyo Mariam ametumika kama muhusika wa kubuni tu? Hata Yesu mwenyewe kuna maelezo yametofautiana kila upande lakini huo utofauti bado hauondoi mantiki ya uwepo wake kama ilivyo kwa mariam
Umaarufu for the sake of umaarufu hata fictional character anaweza kuwa nao mfano Adam na Hawa wanajulikana kila chocholo duniani lakini hawawezi kujumuishwa kwenye watu maarufu zaidi kuwahi kutokea kwa sababu uwepo wao bado unahitaji clarification kuthibistisha kama kweli waliwahi kuwepo hapa duniani.
Binafsi naona mariam ni kama muhusika wa kubuni. Lakini mawazo yangu sio msahafu. Ikionekana pasipo na shaka kwamba mariam aliwahi kuwepo basi ana sifa zote za kuingia kwenye top 3 kama watu maarufu zaidi kuwahi kuwepo duniani
Kujielimisha ni jambo zuri na hufanywa na watu wenye hekima, endelea kujifunza zaidi ili uelimike,usipende kumezeshwa mambo bila kudig kwa undani zaidi, fanyia kazi huu ushauri ili uepuke aibu ndogo ndogo sawa homeboyAna abudiwa una muabudu Kwa kuzubaishwa kuwa haumuabudu , Kila siku una muomba bila ya kujua una muomba , Allahuma swali alaaa Muhammad Wala aliih Muhammad ni Nini hii !??
Mmechotwa Akili bila ya kujijua
Jinga huna unacho kijua umtakie rehema ya Nini wakati mtume Tayari alikuwa amesha ahidiwa Pepo according to your faith Tangu alipo kuwa hai ..!!! Kumtakia rehema Kwa lengo lipi Tena !? nyie watu wa I'ma I mnakuwaga kama wehu mmezeshwa script mkazimeza nzima nzima bila hata ya kujiuliza mara mbili mbiliKujielimisha ni jambo zuri na hufanywa na watu wenye hekima, endelea kujifunza zaidi ili uelimike,usipende kumezeshwa mambo bila kudig kwa undani zaidi, fanyia kazi huu ushauri ili uepuke aibu ndogo ndogo sawa homeboy
Hapo huwa tunamtakia rehma mtume wetu, hope you got that
Asante
Sawa sawa mkuu. Mawazo yangu sio msahafuAdam na Hawa hadithi yao haina muda maalum, haina mahali maalum panapojulikana duniani, na hakuna mwandishi wa zama zao aliyewahi kuandika akadai aliwaona, hiyo ni hadithi ya kufikirika ya mwanzo wa dunia. Maria yeye Aliishi karne ya kwanza zama za ukoloni wa Kirumi, maeneo yanayojulikana kwenye ramani ya sasa (Nazareti na Yerusalemu), aliishi na watu waliomjua live! Wakati vitabu vya kwanza vya Biblia vikiandikwa miaka 20-30 baada ya Yesu, ndugu wa damu wa Yesu kama Yakobo na Yuda walikuwa bado wako hai Yerusalemu. Kama Maria angekuwa mhusika wa kubuni, maadui wa Ukristo wa zama hizo kama viongozi wa Kiyahudi si wangewashitaki mitume kwa kudai wanatunga hadithi za mwanamke asiyewahi kuwepo?
Lakini hakuna adui hata mmoja wa kale aliyewahi kupinga uwepo wa Maria na Yesu.
Naelewa Mkuu wangu.Sawa sawa mkuu. Mawazo yangu sio msahafu
Easy easy homeboy huwa nawapenda watu kama nyie, huwa nainjoi kuongea na vilaza kama nyieJinga huna unacho kijua umtakie rehema ya Nini wakati mtume Tayari alikuwa amesha ahidiwa Pepo according to your faith Tangu alipo kuwa hai ..!!! Kumtakia rehema Kwa lengo lipi Tena !? nyie watu wa I'ma I mnakuwaga kama wehu mmezeshwa script mkazimeza nzima nzima bila hata ya kujiuliza mara mbili mbili
Thank youBora hata w
😄😁😁 Hauoni kama wewe ni kiazi hizo verse zinatofauti ipi na verse za wimbo wa Taifa mungu ibariki Tanzania wabariki viongozi wakeEasy easy homeboy huwa nawapenda watu kama nyie, huwa nainjoi kuongea na vilaza kama nyie
Allahumma swalli 'ala Muhammadin wa 'ala aali Muhammad, kama swallayta 'ala Ibraahima wa 'ala aali Ibraahim, innaka Hamiidun Majiid. Allahumma baarik 'ala Muhammadin wa 'ala aali Muhammad, kama baarakta 'ala Ibraahima wa 'ala aali Ibraahim, innaka Hamiidun Majiid.
Tafsiri:
"Ewe Mwenyezi Mungu, mrehemu Muhammad na familia ya Muhammad, kama ulivyomrehemu Ibrahim na familia ya Ibrahim. Hakika Wewe ni Mwenye kusifiwa na Mwenye utukufu. Ewe Mwenyezi Mungu, mbariki Muhammad na familia ya Muhammad, kama ulivyombariki Ibrahim na familia ya Ibrahim. Hakika Wewe ni Mwenye kusifiwa na Mwenye utukufu."
Haya umeona ujinga wako homeboy
😄😁😁 Hauoni kama wewe ni kiazi hizo verse zinatofauti ipi na verse za wimbo wa Taifa mungu ibariki Tanzania wabariki viongozi wake
Usichokielewa wewe kwakuwa Hauna Akili timamu , Hizo ni verse ambazo zimetungwa na Muhammad huyo huyo kwaajili ya watu kumpraise , Kisha zikaundiwa sera ndani ya imani yenu
Swali dogo tu ambalo nataka unijibu Muhammad alishapewa free visa ya peponi na Hana madhambi so una unaendelea kumuombea Abarikiwe Abarikiwe Nini kingine kwanini Abarikiwe wakati Tayari Hana dhambi !? Na amesha barikiwa Kwa kupewa utume na kupewa Pepo
Jinga kabisa unashindwa hata kujiongeza na kutambua kwamba hiyo ni minding game mnatumika kumuabudu mtu
Mandela nje ya Afrika hajulikana sana. Sio rahisi kumkuta dokta, injinia au dereva tex kule ujerumani anamjua mandela
Mandela nje ya Afrika hajulikana sana. Sio rahisi kumkuta dokta, injinia au dereva tex kule ujerumani anamjua mandela
Huna jipya 😄😄Unaanza kuleta hadith zako nyingine,,homeboy got no time kwa upuuzi upuuzi nenda kajielimishe next time uje ukiwa una maarifa ya kutosha
Asante
Kaka are you serious!?Mandela nje ya Afrika hajulikana sana. Sio rahisi kumkuta dokta, injinia au dereva tex kule ujerumani anamjua mandela
Mzee you're not seriousMandela nje ya Afrika hajulikana sana. Sio rahisi kumkuta dokta, injinia au dereva tex kule ujerumani anamjua mandela
Sijasema kwamba hajulikani kabisa. Maana yangu katika ile list yako umaarufu wake sio mkubwa kuwazidi wengine uliowataja. Kidunia anafahamika lakini top 10 ya watu maarufu zaidi kuwahi kutokea duniani sina uhakika kama Mandela anaweza kuingiaAnajulikana kuliko muafrika yeyote kwa sababu ndiye icon wa kupigania uhuru wa Afrika...
Watu wengi niliokutana nao nje wanaijua Afrika kwa sababu ya kusoma hekaya za Mandela na harakati za kupinga ubaguzi wa rangi...
Hawa ni watu maarufu kwa maarufu. Vipi kuhusu raia wa mtaani? Nina marafiki wazungu watu wa poland hawamjui kabisa. Kwa mara ya kwanza ni mimi ndio niliwapa habari zake. Kuna siku tupo club tunaongelea kuhusu suala la wasauzi kuwakuza wageni katika maongezi mimi ndio nikiwapa story za Mandela kwa mara ya kwanza.Mzee you're not serious
PR alivyokuwa anafanyiwa Mandela na wakubwa wa Dunia haikuwa PR ya mchezo mchezo hivi unajua Birthday part yake ilifanyika uingereza kwenye ukumbi wa Wembley, acha masihara basiiii
Mandela he was more than famous, mikataba aliyoingia na wazungu ili mfanya wazungu wampigie promo kubwa kuwahi kutokea Kwa viongozi wa Africa, Alipokufa Michael Jackson Mandela alituma barua ya pole na ilisomwa live kwenye eveniya kuuaga mwili wa Michael Jackson mastar walikuwa kibao that day
Siku ya kifo Cha Mandela maraisi wakubwa karibia wote wa Duniani walikuwepo achilia mbali ma-celebrity
Wakati wa Uhai wa Mandela kina Michael Jackson walikuwa wana kwenda kum- visit Michael Jackson alishawahi kwenda kwenye B day party ya Mandela hebu jiulize Michael Jackson alikuwa ana influence kiasi Gani ni watu wangapi duniani waliokuwa wana mfuatilia halafu ndio useme kwamba Ujerumani Mandela hajulikani like seriously
Manchester united team nzima umeshawahi kwenda kum- visit Mandela , hebu fikiria influence waliyokuwa nayo man u wanafuatiliwa Dunia nzima na watu mbali mbali Kwa mantiki huyo Kuna madereva tax wa Ujerumani ambao Hawamjui Mandela !?
Maybe kwenye kizazi hiki Cha gen z but Mandela was something else