Watu 10 maarufu zaidi kuwahi kutokea duniani

Mfano kama Mimi watu wangu maarufu nitaanza na wafuatao, hawa watu wana ushawishi kwenye maisha ya Kila siku ya watu duniani, hawa watu ndio wametufikisha Hapa tulipo sasa, sizungumzii umaarufu kujulikana Tu kama wa kina Ronaldo Bali kuleta impact kwenye jamii kisiasa, kiuchumi,kijamii na kiutamaduni...

Mohammed wa waislamu (ana 2+ billion followers and more to come
Yesu wa wakristo (2+ billions followers and more to come)
Gautama (Buddha)...(600+ millions followers and more to come)
Confucius (500+ millions and more to come)

Hawa wote kwa ujumla wameathiri maisha ya watu kama bilioni sita hivi dunia nzima na bado athari zao zitaendelea kuwepo.
 
Ila watu mna fitina aisee! Yaani Mwamedi apitwe mpaka na akina Tupac?
 
Ndani ya Israel Netanyau ni maarufu zaidi kuliko yesu, hapo jiulize swali, na yesu inadaiwa ni mu Israel πŸ€”
Bwashee, unajua Mimi yesu namfananisha na mtu aliyefika Arusha akawa maarufu, halafu akadai kuwa yeye anatokea Moshi na kule Moshi wanampenda na ni maarufu zaidi.

Halafu ukienda Moshi ukamuulizia unakuta anayefahamika ni Ndensamburo wala siyo huyo anawadanganya watu kule A town.
 
Ni kweli mkuu
 
Ni kama kale ka mdudu ka chugaaa , ni ka mtu kamoshi ila chuga ni maarufu kinouma , ila kakifika moshi ni kachunga mbuzi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…