Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,537
- 133,017
Tupo na hali ile ile uliyotuacha nayo kuleInakuwaje 😁😁😁
Tupo na hali ile ile uliyotuacha nayo kuleInakuwaje 😁😁😁
Ni kweli mkuu. Ndio maana katika introduction nikatoa mwanya wa orodha kupingwa. Bahati mbaya wabongo wanakua provoked kirahisi sana. Unaampa mtu mwanya wa kufanya marekebisho lakini bado anakuja kukushambulia mjinga, huna akili n.kMuhammad Mzee tazama ule umati unao kwenda Makkah Kila mwaka watu wana risk maisha Yao wanakopa ili mradi wafike Makkah influence yake simichezo propaganda alivyoifanya ni nzito halafu hao Messi na cr7 after 200 yrz watu watakuwa wamesha wasahau lakini haitokuwa hivyo Kwa muddy Kila siku watu wana muabudu na ulimtukana tu au kukojolea kitabu chake nadhani balaa utalijua 😁😁😁😁
So Kwa mantiki hiyo Muhammad ni famous na ana influence kubwa kuliko hao uliowataja
Kwa nini kamuweka mtume mohamedi mtu wa 10 yaan hadi wacheza mpira wamemzidi? Huo ni ukorofiLigi itaanza mida si mrefu hususani kwenye namba 1 na namba 10.
Sawa sawa 😄Tupo na hali ile ile uliyotuacha nayo kule
Kwa nini kamuweka mtume mohamedi mtu wa 10 yaan hadi wacheza mpira wamemzidi? Huo ni ukorofiLigi itaanza mida si mrefu hususani kwenye namba 1 na namba 10.
Hapo sawaNi kweli mkuu. Ndio maana katika introduction nikatoa mwanya wa orodha kupingwa. Bahati mbaya wabongo wakua provoked kirahisi sana. Unaampa mtu mwanya wa kufanya marekebisho lakini bado anakuja kukushambulia mjinga, huna akili n.k
Tunaomba list yako mkuuKwa nini kamuweka mtume mohamedi mtu wa 10 yaan hadi wacheza mpira wamemzidi? Huo ni ukorofi
Tupe top 10 yako mkuuKwa hiyo GOAT anamzidi umaarufu CEO wa kobazi au sio..
2Pac na Bob marley walitakiwa wawe wote nafasi ya kwanza..Umekosea kupangilia.
Na katika mpangilio huo Tupac hana nafasi.
We tutakuweka namba 10 pale baada ya muddy.Umenisahau mimi
Huyu dogo atakuwa Gen Z hafikiri sawa sawa. Baba wa babu yangu aliyefariki 1986 anamjua Ronaldo?Hapo Muhammad na Yesu. Hao lazima wawe top 3.
Kumuweka Muhammad namba 10 ni kumkosea haki na heshima.
Fikiria tuu anawafuasi zaidi ya bilioni 2.
Idadi ambayo hata Ronaldo hawezi kuifikia
Karne ya 20 kurudi nyuma hao wote uliowataja kasoro Yesu na Muhammad bado walikuwa maarufu na wanawafuasi wa kutosha
Ingetakiwa atolewe hapo na Ampishe cocastic kwenye hiyo nafasi ya 10.Kwa nini kamuweka mtume mohamedi mtu wa 10 yaan hadi wacheza mpira wamemzidi? Huo ni ukorofi
Mkuu kuna msanii wa hip hop kafikia umaarufu wa tupac?Ondoa 2PAC weka Jay Z
Mpaka hapa umeshaanzisha ligi tayari 🤣Ligi itaanza mida si mrefu hususani kwenye namba 1 na namba 10.