MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Kimsingi hii ni list yenye makosa mengi sana. Kwamna 2pac ni maarufu kuliko Mohamad?
Tupe list yako mkuu. Nakubali hapo nimekosea lakini mpaka sasa sioni mkionyesha usahihi. Naona wengi mashambulizi, panics na matusi tuKimsingi hii ni list yenye makosa mengi sana. Kwamna 2pac ni maarufu kuliko Mohamad?
Historia inaonyesha walikuwepo mkuu. Sema yale maajabu tunayoambiwa waliyafanya kwenye vitabu vya dini ndio kuna ukakasi
Hawa nina wasiwasi nao sana. Basi walikua wahuni flan tu kama Mwamposa, Serkali za jamii zao kwa manufaa yao wakaamua kuwakuza kuwapumbaza Raia.
yesuTop ten yako ungeipangaje mkuu?
hili jina linafurahishaOngeza na Bujibuji Simba Nyamaume
Sawa sawa mkuu. Sema kusema messi na ronaldo wamemzidi umaarufu michael jackson hapo inabidi tukubaliane kutokubalianayesu
Muhammad
Ronaldo
Mesi
huko kwingine yoyote utakae muweka ni sawa tu
Ila Yuda kwa wagalatia ni superstar wasiyependa kumsahauUnamtoaje bi Khadija na Yuda kwenye Top 10
Unajua kuna mambo ambayo pamoja na mtazamo wake lkn inabidi uwe makini sana kwa kuwa yanagusa hisia za watuIla watu mna fitina aisee! Yaani Mwamedi apitwe mpaka na akina Tupac?
Baada ya kusoma maelezo ya wengi nakubali hapo nimekoseaUmaarufu wa Yesu na Mohammad hakuna wa kuwakuta dunuani!
waliokuwa wanamfahamu maiko washakufa wengi sana pengine amebaki wewe tu.Sawa sawa mkuu. Sema kusema messi na ronaldo wamemzidi umaarufu michael jackson hapo inabidi tukubaliane kutokubaliana
Wapo wengi sana. Kuna osama bin laden, mr.bean,malkia elizabeth, tyson n.k kuipata top 10 ambayo haipingwi na yoyote ni ngumuBila kumsahau Michael Jordan gwiji la kikapu duniani.
Naomba nikuweke sawa kidogo chief, Muhammad haabudiwi yeye ni Mtume tu,kwahiyo uwe makini na unachosemaMuhammad Mzee tazama ule umati unao kwenda Makkah Kila mwaka watu wana risk maisha Yao wanakopa ili mradi wafike Makkah influence yake simichezo propaganda alivyoifanya ni nzito halafu hao Messi na cr7 after 200 yrz watu watakuwa wamesha wasahau lakini haitokuwa hivyo Kwa muddy Kila siku watu wana muabudu na ulimtukana tu au kukojolea kitabu chake nadhani balaa utalijua 😁😁😁😁
So Kwa mantiki hiyo Muhammad ni famous na ana influence kubwa kuliko hao uliowataja
Umaarufu wao ni wakuhamasishwa kila siku jumapili na ijumaa kwa maelfu ya miakaUmaarufu wa Yesu na Mohammad hakuna wa kuwakuta dunuani!
Asante kwa kukubali kwamba Yesu na Muhammad hawana mbadala!!Baada ya kusoma maelezo ya wengi nakubali hapo nimekosea
Haijalishi, neno "Yesu wangu" au "Mtumee" linatajwa kila sekunde nadhani. So umaarufu wa hawa viumbe hauna mtu wa kuwalinganisha, haijalishi ni mbinu gani imefanya wapate huo umaarufu.Umaarufu wao ni wakuhamasishwa kila siku jumapili na ijumaa kwa maelfu ya miaka
Namba 10 sio wa mwisho mkuu. Mabilioni ya watu tayari walishakuwepo duniani. Mimi niliangalia tu uwezekano wa nani anaweza kupata kura nyingi tukiwauliza makundi ya watoto, watu wazima na wazee kama wanamjua. Nikaona Mohamad atakwama hapo kwenye kundi la watoto. Wengi tumemjua ukubwani. Lengo halikua kuweka usawa wa kiimani au kuwa influenced na tafiti za watu wengine. Hata hivyo umemaliza kwamba mawazi ya mtu yaheshimiwe tu. Vipi kwa uoande wako mkuu top 5 ya watu maarufu zaidi kuwepo duniani anaingia nani na nani?Unajua kuna mambo ambayo pamoja na mtazamo wake lkn inabidi uwe makini sana kwa kuwa yanagusa hisia za watu
Huwezi kuwaweka watu ambao wana influence ya imani hapa duniani,mmoja awe wa mwisho na mmoja awe wa kwanza,walau basi wangefuatana kwa namba walau ingeeleweka
Katika list ambayo iliwataja watu maarufu 100 duniani Muhammad peace be upon him alikuwa namba moja,na walitoa vigezo kwa maana alikuwa ana sifa kama 4 au 5 hivi,sasa anakuja mtu hapa jf kwa utashi wake mwenyewe anamuweka mtu huyo wa mwisho yani anapitwa hata na marapa
Naelewa ni maoni yake na utashi wake lakini basi walau data ziwe zina akisi uhalisia
Anyway watu msichukulie personal Kivile haya ni maoni yake kwahiyo tumuelewe
Huu ndio ukomavu unakubali ukweli pale ulipo teleza, kongole kwa hiliBaada ya kusoma maelezo ya wengi nakubali hapo nimekosea
Ni kweli ila hata wewe tukikupigia promo maelfu ya miaka lazima uwe maarufu tu bwashee hata kama haujaonyesha uwezo wowoteHaijalishi, neno "Yesu wangu" au "Mtumee" linatajwa kila sekunde nadhani. So umaarufu wa hawa viumbe hauna mtu wa kuwalinganisha, haijalishi ni mbinu gani imefanya wapate huo umaarufu.