Watu 10 maarufu zaidi kuwahi kutokea duniani

Mohamed nitamweka namba Moja
Huyu hata nchi za Magharibi wasio Waislamu wanamjua vizuri sana, iwe kwa heri au kwa changamoto za kisiasa.

Kuna kitabu maarufu duniani cha mwanahistoria Michael H. Hart kinachoitwa "The 100: A Ranking of the Most Influential Persons in History." Kwenye kile kitabu, Michael Hart ambaye ni Mkristo mzungu alimweka Mtume Muhammad kuwa Mtu Namba Moja mwenye ushawishi mkubwa zaidi kuwahi kutokea duniani, akimzidi hata Yesu na Isaac Newton. Sababu ni kuwa yeye alifanikiwa kwa 100% kidini na kisiasa kwa wakati mmoja.
 
Mbona List yako haina Mwanamke hata mmoja Mkuu?

Hivi inawezekana kweli katika historia yote ya mwanadamu tangu dunia iumbwe, hakuna mwanamke hata mmoja aliyefikia vigezo vyako vya umaarufu?
Nimepitia list kadhaa ambazo zipo published. Kwa mawazo yangu mapungufu niliyoyaona list nyingi zinatoa kipaumbele kwa wanasayansi, wanafalsafa na watawala/wanasiasa. Lakini ukija kwenye uhalisia unakuta hao watu kuwajua ni mpka uwe mfuatiliaji wa mambo waliyoyafanya.

Lakimi kuna watu hata kama haufatilii wanayoyafanya taarifa zao zitakufikia tu. Ndicvo hicho kitu nilikipa uzito zaidi

Kwahiyo nikaongezea na kigezo changu kimoja. Tukiwatenga makundi ya watoto, watu wazima na wazee muhusika awe popular kote. Maana mtu kama Albert Eistein tunaojua sayansi hata juu juu tu tutamjua lakini tukikusanya kundi la madogo darasa la 1-5 wangapi watakua wanamjua?

Mkuu kwa kigezo changu cha mtu kuwa popular miongoni mwa watoto, vijana na wazee. Unafikiri ni mwanamke gani anaweza kuingia top 10 ya watu maarufu zaidi duniani?
 
Huyu hata nchi za Magharibi wasio Waislamu wanamjua vizuri sana, iwe kwa heri au kwa changamoto za kisiasa.

Kuna kitabu maarufu duniani cha mwanahistoria Michael H. Hart kinachoitwa "The 100: A Ranking of the Most Influential Persons in History." Kwenye kile kitabu, Michael Hart ambaye ni Mkristo mzungu alimweka Mtume Muhammad kuwa Mtu Namba Moja mwenye ushawishi mkubwa zaidi kuwahi kutokea duniani, akimzidi hata Yesu na Isaac Newton. Sababu ni kuwa yeye alifanikiwa kwa 100% kidini na kisiasa kwa wakati mmoja.
Na atazidi kuwa maarufu kwa sababu ya tabia za mataifa ya kiarabu pale mashariki ya kati.
 
Huyu hata nchi za Magharibi wasio Waislamu wanamjua vizuri sana, iwe kwa heri au kwa changamoto za kisiasa.

Kuna kitabu maarufu duniani cha mwanahistoria Michael H. Hart kinachoitwa "The 100: A Ranking of the Most Influential Persons in History." Kwenye kile kitabu, Michael Hart ambaye ni Mkristo mzungu alimweka Mtume Muhammad kuwa Mtu Namba Moja mwenye ushawishi mkubwa zaidi kuwahi kutokea duniani, akimzidi hata Yesu na Isaac Newton. Sababu ni kuwa yeye alifanikiwa kwa 100% kidini na kisiasa kwa wakati mmoja.
Hapa linaibuka suala jingine mkuu. Unajua umaarufu(popularity) na ushawishi(influence) ni vitu tofauti. Mimi nimebase kwe ye umaarufu maana tukisema ushawishi hata adolf hitler inabidi tumtoe hapo.

Mohamad ana ushawishi maana ame-influence maisha ya watu bilion 2+. Lakini ukiongelea umaarufu sina uhakika kama anatambulika kwenye kila jamii na kila rika. Uende kwenye jamii za wafugaji au kundi la watoto wadogo ukute wanamjua Mohamad sio rahisi
 
Nimepitia list kadhaa ambazo zipo published. Kwa mawazo yangu mapungufu niliyoyaona list nyingi zinatoa kipaumbele kwa wanasayansi, wanafalsafa na watawala/wanasiasa. Lakini ukija kwenye uhalisia unakuta hao watu kuwajua ni mpka uwe mfuatiliaji wa mambo waliyoyafanya.

Lakimi kuna watu hata kama haufatilii wanayoyafanya taarifa zao zitakufikia tu. Ndicvo hicho kitu nilikipa uzito zaidi

Kwahiyo nikaongezea na kigezo changu kimoja. Tukiwatenga makundi ya watoto, watu wazima na wazee muhusika awe popular kote. Maana mtu kama Albert Eistein tunaojua sayansi hata juu juu tu tutamjua lakini tukikusanya kundi la madogo darasa la 1-5 wangapi watakua wanamjua?

Mkuu kwa kigezo changu cha mtu kuwa popular miongoni mwa watoto, vijana na wazee. Unafikiri ni mwanamke gani anaweza kuingia top 10 ya watu maarufu zaidi duniani?
Nimekuelewa mkuu, kuna Mwanamke mmoja tu duniani ambaye ana sifa zote za kuingia hiyo Top 10 na hapingiki hata kwa mtoto wa chekechea, si mwingine bali ni BIKIRA MARIA, huyu mama ndio mwanamke maarufu zaidi kuwahi kukanyaga ardhi hii ya dunia, na hakuna mwanamke mwingine anayesogea hata robo ya umaarufu wake. Ukimweka kwenye vile vigezo vyako vya watoto, vijana na wazee, anafuzu kwa asilimia 100, ukiangalia kwa upande wa watoto iwe ni wakristo au waislamu wengi wanamjua huyu mama. Kila inapofika msimu wa Krismasi, watoto huwa wana michezo yao ya kuigiza ya kuzaliwa kwa Yesu, kwahiyo watoto wengi sana huwa wanaona picha zake kwenye makanisa, na hata kwenye katuni za kidini.
 
Hapa linaibuka suala jingine mkuu. Unajua umaarufu(popularity) na ushawishi(influence) ni vitu tofauti. Mimi nimebase kwe ye umaarufu maana tukisema ushawishi hata adolf hitler inabidi tumtoe hapo.

Mohamad ana ushawishi maana ame-influence maisha ya watu bilion 2+. Lakini ukiongelea umaarufu sina uhakika kama anatambulika kwenye kila jamii na kila rika. Uende kwenye jamii za wafugaji au kundi la watoto wadogo ukute wanamjua Mohamad sio rahisi
Mkuu uko sawa kabisa kusema hivi lakini ukiangalia kiuhalisia, Mtume Muhammad anavuka kabisa hicho kigezo cha umaarufu kwa urahisi sana kuliko hata Ronaldo au Messi.

Kwenye familia zote za Kiislamu duniani ambazo ni karibu robo ya watu wote duniani, mtoto anapozaliwa tu kitu cha kwanza anachofundishwa kusikia na kutamka kwenye shahada na adhana ni jina la Mungu na Mtume Muhammad. Mtoto wa miaka minne wa Kiislamu anaweza asimjue kabisa Messi, Ronaldo, au Adolf Hitler, lakini akawa analijua jina la Muhammad, hii inamfanya Muhammad awe maarufu kwa watoto wa rika la chini kabisa kuliko mwanasoka yeyote.
 
Nimekuelewa mkuu, kuna Mwanamke mmoja tu duniani ambaye ana sifa zote za kuingia hiyo Top 10 na hapingiki hata kwa mtoto wa chekechea, si mwingine bali ni BIKIRA MARIA, huyu mama ndio mwanamke maarufu zaidi kuwahi kukanyaga ardhi hii ya dunia, na hakuna mwanamke mwingine anayesogea hata robo ya umaarufu wake. Ukimweka kwenye vile vigezo vyako vya watoto, vijana na wazee, anafuzu kwa asilimia 100, ukiangalia kwa upande wa watoto iwe ni wakristo au waislamu wengi wanamjua huyu mama. Kila inapofika msimu wa Krismasi, watoto huwa wana michezo yao ya kuigiza ya kuzaliwa kwa Yesu, kwahiyo watoto wengi sana huwa wanaona picha zake kwenye makanisa, na hata kwenye katuni za kidini.
Bikira Maria sio frictional character?
 
Back
Top Bottom