KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,235
- 5,854
Duniani kuna majiniwatu, Hawa wana sifa za kupotea tu huwezi kujua kaishia wapi mtabaki kuhisi. Ili ujue huyu ni jini mtu, ni waoga kuangalia wenzao macho kwa macho, hii ni kwa sababu mbni zao ni nyeusi kama zetu lakini haziakisi kitu anachoona mfano, wewe uliye MTU na Mimi tukkangaliana machoni lazima ujione machoni kwangu nami nitajiona kwenye macho yako, wenyewe macho humeza picha. Ya pili hawaendagi safari za kuface jua. hawaangaliagi jua lilipo safari zao, asubuhi huenda magharibi na jioni hurudi mashariki ikitokea anaenda mashariki asubuhi basi aendako hajawataarifu kuwa na kuja, hivo hivo na jion pia. Kwahyo kama walipotea na wana hizi sifa waache tu waende
Mkuu inaonesha una ilmu ya hawa viumbe kwa kina kiongozi...?